Misemo ya kuvutia yenye tafakari pana ya Nguli wa filamu za Kinaijeria Pete Edochie

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
ImageUploadedByJamiiForums1462352096.482144.jpg

1. Fursa ndogo anayopewa nyani ya kivishwa nguo, haimhakikishii kujiunga katika meza ya chakula kula pamoja.
2. Kuishi na mwanaume asiye na maarifa kichwani na asiyeweza kuijiongeza, ni sawa na kikongwe kukimbia mbio ndefu za Boston Marathon.
3. Wasichana ni kama maembe, wakati wewe ukisubiri muda yakomae, wengine wanayala kwa chumvi.
4. Yeyote atakayepasua nazi kwa kutumia kichwa, hata shiriki kunywa mchuzi uliopikwa kwa nazi hyo.
5. Mwanaume ambae atajipitisha pitisha kwa mwanamke mzuri bila kumueleza lolote, ataishia kunawisha wageni waalikwa mikono kwenye harusi ya huyo mwanamke.
6. Yoyote anayehesabu pesa baada ya kuzitoa katika mashine ya ATM anathamini uaminifu.
7. Msichana anapokua na Uzuri pasina maarifa kichwani, sehemu zake za siri huumia zaidi.
8. Kuwa na msichana kama rafiki ni kama kufuga kuku wa maonesho, ipo siku utamla.
9. Mbwa mwitu aliyeko juu ya kilima hana njaa kama mbwa mwitu apandae kilima.
10. Kamwe usiache watu wenye mawazo mgando na hasi wapange kichwani mwako, wapandishie kodi na wafukuze kichwan mwako.
11. Maisha yataendelea, hata kama wewe umeyasusia.
12. Makalio ni kama Wanandoa wawili, ingawa yana msuguano usioisha katikati yao, lakini bado yanapendana na yanaishi pamoja.

Sio maneno yangu, ni ya huyu mcheza filamu wa muda mrefu Pete Edochie
Umependa msemo upi wa huyu nguli wa filamu?
 
Mimi naona hii misemo watu uwa wanaigana tu. Na kutokana na umaarufu wa baadhi ya watu hata kama wameiga kwa wengine basi uonekana kama wao ndiyo waanzilishi.

Kwa mfano namba 7 isemayo "Msichana anapokua na Uzuri pasina maarifa kichwani, sehemu zake za siri huumia zaidi" hii iliwahi kutoka na kusambazwa kwenye mitandao mfano whatsapp ikidaiwa kuwa ni msemo ulioasisiwa na rais Robert Mugabe wa Zimbabwe.
 
Sijawahi kuona misemo ya kijinga jinga namna hii! Huo muda wa kunakili vitu vya kijinga namna hii mnapata wapi?
 
  • Thanks
Reactions: Auz
View attachment 344648

1. Fursa ndogo anayopewa nyani ya kivishwa nguo, haimhakikishii kujiunga katika meza ya chakula kula pamoja.
2. Kuishi na mwanaume asiye na maarifa kichwani na asiyeweza kuijiongeza, ni sawa na kikongwe kukimbia mbio ndefu za Boston Marathon.
3. Wasichana ni kama maembe, wakati wewe ukisubiri muda yakomae, wengine wanayala kwa chumvi.
4. Yeyote atakayepasua nazi kwa kutumia kichwa, hata shiriki kunywa mchuzi uliopikwa kwa nazi hyo.
5. Mwanaume ambae atajipitisha pitisha kwa mwanamke mzuri bila kumueleza lolote, ataishia kunawisha wageni waalikwa mikono kwenye harusi ya huyo mwanamke.
6. Yoyote anayehesabu pesa baada ya kuzitoa katika mashine ya ATM anathamini uaminifu.
7. Msichana anapokua na Uzuri pasina maarifa kichwani, sehemu zake za siri huumia zaidi.
8. Kuwa na msichana kama rafiki ni kama kufuga kuku wa maonesho, ipo siku utamla.
9. Mbwa mwitu aliyeko juu ya kilima hana njaa kama mbwa mwitu apandae kilima.
10. Kamwe usiache watu wenye mawazo mgando na hasi wapange kichwani mwako, wapandishie kodi na wafukuze kichwan mwako.
11. Maisha yataendelea, hata kama wewe umeyasusia.
12. Makalio ni kama Wanandoa wawili, ingawa yana msuguano usioisha katikati yao, lakini bado yanapendana na yanaishi pamoja.

Sio maneno yangu, ni ya huyu mcheza filamu wa muda mrefu Pete Edochie
Umependa msemo upi wa huyu nguli wa filamu?

Hebu turejeshee matamko yake halisi kwa lugha originale aliyotumia yeye! Asante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom