Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,378
- 2,057
kama najua siendi .. ila kama sijui nakubali kupigwa
ulistaafu eeh?,vipi hali yake lakini?kuna kipindi nliiamini na ilinisaidia
kwa sasa siitaji tena kondom........sina matumizi nayo
mmmh...tendo takatifu kama hili unaliita 'kupigwa'
Je ukipewa condom ukaambiwa nenda kafanye mapenzi na mtu alie athirika na UKIMWI
Utaenda?
Ninauliza hivi kwa maana wengi huwa tunatumia condom kwa kuwa tu hatuna uhakika na usalama wa mtu unae shiriki nae tendo.
Ila ki ukweli ungekuwa unajua dhahiri kuwa mtu unae enda kulala nae tayari ana ngoma hata hiyo condom ukipewa uta du kweli?
Mimi siziamini hata nukta...
kwa sababu na nyie wanaume mnasemaga mnatupigammmh...tendo takatifu kama hili unaliita 'kupigwa'
Kwahio kitu LIVE....!
Hilo si la kuuliza hata kidogo