Je, unahitaji unga wa mbegu za maboga? Karibu

Je, unahitaji unga wa mbegu za maboga? Karibu

Baab_kubwaproducts

New Member
Joined
Oct 19, 2018
Posts
3
Reaction score
0
Babu Kubwa Enterprises ni kampuni inayojishughulisha na uzalishaji, utengenezaji, ufungaji na usambazaji wa vyakula, matunda na viungo.
B.K Enterprises wanakuletea Unga bora wa lishe, Unga wa mbegu za Maboga, Asali, na Unga wa Tangawizi n.k.

Je unakula lishe iliyo sahihi kwa mwili wako? Je wajua ya kwamba mwili wako unahitaji virutubisho sahihi vinavyoendana na mikiki ya shughuli zako za kila siku!
“Anza sasa kutumia chakula kama dawa, ili kuepuka kutumia dawa kama chakula huko mbeleni “


BK Enterprises, sasa wamekuletea Unga bora wa mbegu za maboga ambao una protini na madini ya kutosha na ya mhimu zaidi mwilini kama madini ya Zinc, Kopa, Magnesium, Chuma , Manganese, Phosphorus

Tafiti mbalimbali zimethibitisha pasipo na shaka kuwa mbegu za maboga zina faida nyingi kiafya na zina uwezo wa kukuepusha na magonjwa yafuatayo:-
Ugonjwa wa moyo, Huimarisha kinga ya mwili, huongeza uwezo wa macho kuona, Kinga ya kisukari, dawa bora ya usingizi, huongeza maziwa kwa mama anayenyonyesha, dawa nzuri kwa matatizo ya tezi dume, zinaongeza nguvu za kiume, zinaondoa msongo wa mawazo (Stress), Huzuia mchanga kwenye kibofu cha mkojo, huimarisha afya ya mifupa, n.k

Bei ya Unga wa mbegu za maboga kwenye kopo la ujazo wa 100 Grams, bei yake ni shilingi 2500 kwa bei ya jumla na 3000 kwa bei ya rejareja.
Kwa Dar-Es-Salaam, bidhaa zetu zinapatikana Kigamboni, Upanga, na Kinyerezi au unaweza kutupata kwa nambari ya simu 0713629999
 

Attachments

  • IMG_20181018_104111.jpg
    IMG_20181018_104111.jpg
    108.8 KB · Views: 107
  • IMG_20181018_104119.jpg
    IMG_20181018_104119.jpg
    90.3 KB · Views: 91
Huu unga unaweza kuunywa kama maziwa fresh yaani, na mabaki ukayaunganisha na ugali sembe ikawa dona kiotomati yaani

Nimeujaribu mimi kama maziwa fresh upo fresh tu
 
Huu unga unaweza kuunywa kama maziwa fresh yaani, na mabaki ukayaunganisha na ugali sembe ikawa dona kiotomati yaani

Nimeujaribu mimi kama maziwa fresh upo fresh tu
Kisa, NGUVU ZA KIUME, wanaume tunataabu sana.
 
Back
Top Bottom