Elisha Chuma
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 282
- 275
Si kila mttu anatumia computer mkuu, wengine ni simu so hawawezi kuiona hiyo signature yako, ni heri uiandike tu kila mtu aione.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mkuu nimechungulia kwenyea blog yako nimeshangaa unazungumzia blanding wakati wewe mwenyewe umeshindwa kufanya blanding ya blog yako? jitahidi kama safari ndo kwanza hata kimara hujafika kwenda mkoani kutokea ubungo
Inamachapisho ya vyote mkuu ujasiriamali na ufanyabiashara sababu mjasiriamali ni mfanyabiashara ila mfanyabiashara sio mjasiriamali.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
acha uhuni wengine wanatumia sim hayo ma signature hayaonekan weka kama text ya kawaida au imekuwa siri
Ndugu Chuma, nashukuru kwa moyo wako mkuu kutujuza katika fani uliyobobea, baadhi ya <i>definition</i> nyingi za Mjasiriamali imejumuisha maono "Ilham, ~Vision" apatayo katika mtazamo wa kitu kibiashara ambayo hayaonwi na mwingine katika kipindi husika. Swali: Ujasiriamali unaweza kufundishwa kwa mfanyabiashara?
Asante mkuu,ndio mfanyabiashara anaweza kufanya ujasiriamali ila sio kwa kupitia yeye mwenyewe,nikiwa namaanisha anaweza kuiona nafasi na wazo la kijasiriamali akaweka watu wa kulikamilisha lengo hilo kwa niaba yake.
Na pia kuna kitu kinaitwa branding ni elimu ambayo akiipata mfanyabiashara inaweza kumuhamisha kiasi fulani kutoka ufanyabiashara hadi ujasiriamali kwa kuona matokeo na mpangilio halisi wa anachokifanya na matokeo yake yatachukua muda gani.
Nashukuru kwa majibu yako Mkuu, ninaelimika. Ila kabla sijahamia kwenye blog; swali la nyongeza, nawezaje kufanya "branding" kwa mayai (nikiwa nimezungukwa na wauzaji wengine) bila kupunguza "profit margin" ?