Elisha Chuma
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 282
- 275
- Thread starter
- #21
Ndio mkuu ni kweli Jf ni zaidi ya blogu ndio maana kila post yangu ya kwenye blogu naiweka na jf ili watu wapate mwongozo lakini mara nyingi zinafutwa ndio maana nikatumia njia hii mkuu