Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Man wake up ,umsaidie nani kule?Kina ice cube, Dr Dre, Snoop, xhibit yote majinga tu. Hayana msaada wowote kwa ummah wa Black Americans. Yani yote hopeless bure kabisa.
babukijana
Nyundo 250 ndiyo kipimo gani?Man wake up ,umsaidie nani kule?
Mtoto wa miaka 16 juzi kahukumiwa kifungo cha maisha kwa murder case,kazimia
Kasahau km ye kaua mtu.
Mwingine alicheka judge akimuhukumu,
Kalimwa nyundo 250 palepale kaanza kulia alikua anamcheka judge.
Sasa hao wanahitaji kusaidiwa nini
Siyo kwamba Ww ndio unatatizo na Huna Msaada wowote.. Yaani unaona Kulaumu kutokusaidiwa na Mwenzako ni kama Haki vile unayoipiganiaKina ice cube, Dr Dre, Snoop, xhibit yote majinga tu. Hayana msaada wowote kwa ummah wa Black Americans. Yani yote hopeless bure kabisa.
babukijana
KAMBA😂Nakumbuka ili tukio Maza alimweka dogo kwenye micro wave barafu ikaisha na chanzo cha jina lake lingine la utani hadi kesho hapa mtaani
Miaka 250 babu kule hawatanii,Nyundo 250 ndiyo kipimo gani?
Hiii kaongezea mwenyew maana sizani kama hata anaifahamu na matumizi yakeNi kweli kuwa bi mkubwa alienda kuchukua Ajina moto kwenye freezer?
😂
Kipenz Cha alahKina ice cube, Dr Dre, Snoop, xhibit yote majinga tu. Hayana msaada wowote kwa ummah wa Black Americans. Yani yote hopeless bure kabisa.
babukijana
Waache wafanye watakavyo,huku kiongozi tuliowapa dhamana tunawalipa kodi zetu, watoto wao wanatuonyesha dole la katiKina ice cube, Dr Dre, Snoop, xhibit yote majinga tu. Hayana msaada wowote kwa ummah wa Black Americans. Yani yote hopeless bure kabisa.
babukijana
Ila ikija swala la uhalifu marekani Black Americans wanaongoza. DC yani machalii tu teenegers no wezi wamagari.Man wake up ,umsaidie nani kule?
Mtoto wa miaka 16 juzi kahukumiwa kifungo cha maisha kwa murder case,kazimia
Kasahau km ye kaua mtu.
Mwingine alicheka judge akimuhukumu,
Kalimwa nyundo 250 palepale kaanza kulia alikua anamcheka judge.
Sasa hao wanahitaji kusaidiwa nini
Nimecheka sana !Hiii kaongezea mwenyew maana sizani kama hata anaifahamu na matumizi yake
Mvua 250.Nyundo 250 ndiyo kipimo gani?
Teenagers vichwa vyao sio vizuri. Wengi wao hawaibi gari ili wakauze; it’s for a joyride! Baada ya hapo wanalitelekeza anywhere.Ila ikija swala la uhalifu marekani Black Americans wanaongoza. DC yani machalii tu teenegers no wezi wamagari.