Je Unabisha??

jana hukunitumia namba yako ya zain.
tulipata ajali jana usiku tuligongana uso kwa uso, jamaa alikuwa amelewa sana, akawa anaovateki, gari ikamshinda akatuvaa usoni, kisha gari yake ikapinduka.
saa hizi ndio nafika ofisini ila sasa hivi naondoka, ntarudi kesho.
unaonaje tukionana pale pa jana?
 
Mweeee pole jamani haya tangulia nakuja pale.
 
..... , nawasiwasi huyu jamaa katapeliwa pesa bar na barmaide or changudoa. hana data wala msingi wa heading yake lol too shame!!!, .....
mwanaume ni kichwa baba, hawawezi kutuzidi ujanja ila ni wasaidizi na wenzi wetu.
 
Bazazi haamini kama wanawake ni wajanja kuzidi. Ninachojua wanawake wana nguvu zisizo na kipimo wala kikomo. Niambieni ni wanamme yupi asiyetawaliwa na mkewe; angalia wanavyongea ktk simu na wake zao, angalia wanavyowaongopea walipo na balaa zingine. Lakini swala na ujanja NYAMAUME kiboko, angalia utapeli wa mapenzi na vitu kama hivyo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom