Je Ummy Mwalimu kujiuzulu?

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,285
View attachment 529601 Baada ya mheshimiwa Raisi kutoa msimamo wake kuhusu wanafunzi wa primary na Sekondari kupata mimba na hivyo kuachishwa masomo yao, najiuliza je Waziri Ummy Mwalimu ataachia ngazi?.

Waziri Ummy ameshasikika huko nyuma akilipigania hili suala la Watoto hawa waendelee kusoma kwa hoja kuwa watakuwa wahanga wa umasikini kuachishwa masomo.

Kikawaida katika demokrasia ukipishana mtizamo mkubwa wa kisera au kimaamuzi na bosi aliyekuteua basi unajiuzulu, Je Waziri Ummy Mwalimu naye atajiuzulu kwa sababu ya hili?
IMG-20170623-WA0033.jpg
 
Baada ya mheshimiwa Raisi kutoa msimamo wake kuhusu wanafunzi wa primary na Sekondari kupata mimba na hivyo kuachishwa masomo yao, najiuliza je Waziri Ummy Mwalimu ataachia ngazi?.

Waziri Ummy ameshasikika huko nyuma akisema kuwa atalipigania hili suala la Watoto hawa waendelee kusoma kwa hoja kuwa watakuwa wahanga wa umasikini kuachishwa masomo.

Kikawaida katika demokrasia ukipishana mtizamo mkubwa wa kisera au kimaamuzi na bosi aliyekuteua basi unajiuzulu, Je Waziri Ummy Mwalimu naye atajiuzulu kwa sababu ya hili?
Wewe unaishi Tanzania?!!
 
Kwani hii nchi imetokezea jana? Miaka 50+ mbona hawajawa maskini? Ni wakati wa watanzania kutumia bongo zao sasa. Lea mwanao kwa maadili ili asipate mabwana akiwa shule.

Niko pamoja na Mama Salma na JPM. Kama mnawaachia tu kama Kuku wa kienyeji then ni tatizo. Nyie fikirieni. Mnapinga ndoa za utotoni nyinyi hao hao. Leo mnakuja kushabikia watoto wafanye mapenzi wakiwa shule halafu selikari ibebe zigo tena la kusomesha wake za watu. Crap! Hivi mmesahau kweli kama hili likiruhusiwa ni kila msichana atakuwa huru kufanya ngono? Maana kinachowazuia wanenu kwa sasa ni kuogopa mimba. Zaidi ya hapo vitafanya mapenzi mpaka barabarani. Mark my worlds.
 
Sasa kitakachomfanya ajiuzulu ni nini?
Watu mnalilia watoto wenu wapate mimba wazae ili warudi shule? Hivi ni kweli jambo hili likiruhusiwa mnadhani tutakua na watoto wenye maadili mema?
Saivi sheria ipo kidogo inawatia uoga sasa sheria isipokuepo hali itakuaje?

Marais wa awamu zote hawakuwahi kulikubali hili, kitendo cha JPM kusema hadharani kwamba hakubali basi imekua JPM kakosea eti?
Kwani J.K alikubali? Mkapa alikubali? Mwinyi alikubali? Je Nyerere alikubali??
 
Huyo ataunga mkono na anaweza akatafuta watu waandike mabango ya kumpongeza mheshimiwa kwa msimamo mzuri

Hana ubavu huo wa kubishana na mwenyekiti
 
Kujiuzulu hatajiuzulu isipokuwa ataachana na musimamo wake atafuata musimamo wa boss wake.
 
Kwani hii nchi imetokezea jana? Miaka 50+ mbona hawajawa maskini? Ni wakati wa watanzania kutumia bongo zao sasa. Lea mwanao kwa maadili ili asipate mabwana akiwa shule.

Niko pamoja na Mama Salma na JPM. Kama mnawaachia tu kama Kuku wa kienyeji then ni tatizo. Nyie fikirieni. Mnapinga ndoa za utotoni nyinyi hao hao. Leo mnakuja kushabikia watoto wafanye mapenzi wakiwa shule halafu selikari ibebe zigo tena la kusomesha wake za watu. Crap! Hivi mmesahau kweli kama hili likiruhusiwa ni kila msichana atakuwa huru kufanya ngono? Maana kinachowazuia wanenu kwa sasa ni kuogopa mimba. Zaidi ya hapo vitafanya mapenzi mpaka barabarani. Mark my worlds.
Hakuna cha mark hapo,umeandika upuuzi tu
 
Tz hakuna kujiuzulu na ukijuzulu ukitaka kurudi madarakani unajirudisha tu., ataendelea kupiga mzigo tu
 
Kwani hii nchi imetokezea jana? Miaka 50+ mbona hawajawa maskini? Ni wakati wa watanzania kutumia bongo zao sasa. Lea mwanao kwa maadili ili asipate mabwana akiwa shule.

Niko pamoja na Mama Salma na JPM. Kama mnawaachia tu kama Kuku wa kienyeji then ni tatizo. Nyie fikirieni. Mnapinga ndoa za utotoni nyinyi hao hao. Leo mnakuja kushabikia watoto wafanye mapenzi wakiwa shule halafu selikari ibebe zigo tena la kusomesha wake za watu. Crap! Hivi mmesahau kweli kama hili likiruhusiwa ni kila msichana atakuwa huru kufanya ngono? Maana kinachowazuia wanenu kwa sasa ni kuogopa mimba. Zaidi ya hapo vitafanya mapenzi mpaka barabarani. Mark my worlds.

Kupinga ndoa za Utotoni maana yake mtoto aizae akiwa mtoto.Asiache shule na kulazimisha kuolewa.

Kupata mimba kwa mtoto wa shule kusiwe sababu ya kumfanya Mke .
 
Hapo nami sijaelewa!! Magu amepishana na VP na Waziri wake wote wako serikali moja!!! ......kweli awamu hii mkurupuka hakuna coordination wala hawa watu wanaonekana hawaongei kutoka na kitu kimoja!!
 
Back
Top Bottom