Je umewahi....?

Lizzy ndo madudu gani haya...
Nkipata strepsils ntarudi kusoma umenijibu
Nini bano nakwaruzwa..
 
siku zote inajulikana binadamu akipata mat... hulia mbwata...mabadiliko hutokea sana kama mtu hajitambui
ila badae huja kujuta kwa aliyoyatenda
 
Lizzy ndo madudu gani haya...
Nkipata strepsils ntarudi kusoma umenijibu
Nini bano nakwaruzwa..

Inabidi tukapime aisee...hivi vikohozi visivyoisha hivi!!Mhhh!!!

Ukipata nafuu embu uje ujibu maswali..kama mimi nimeweze wewe ushindwe kwanini?Get busy!!
 
Lizzy tenda wema uende zako...au shukurani ya punda...uonapo uliyemsaidia anakudharau/kejeli kaa naye mbali mkimbie/potezee vinginevyo utamrudishaa alikotoka na utajutia tena matokeo yake...laana na baraka vi ktkt ya ndimi zetu..
 
Back
Top Bottom