Jackline Bahath
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 680
- 627
Tena mimi naweza kuwa dada ako kbs๐๐๐๐ sio sana,kdg tu
Tena mimi naweza kuwa dada ako kbs๐๐๐๐ sio sana,kdg tu
Haya mdogo wetu kuwa makini na wazee wako๐๐๐๐ sio sana,kdg tu
Kubali tu, ndo ecosystem yenyewe! Sasa wote tukizeeka kizazi kitaendeleaje!?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] sio sana,kdg tu
Sio rahisi unataka kuninyima nn.?Tena mimi naweza kuwa dada ako kbs
Kwanini mkuu...[emoji53] [emoji45]Una Mungu aisee
Khaa! Hata chakukupa sina rfkSio rahisi unataka kuninyima nn.?
Sure..heshma yako mkuuKubali tu, ndo ecosystem yenyewe! Sasa wote tukizeeka kizazi kitaendeleaje!?
Imekuaje jf mkuu....[emoji45] [emoji45] [emoji53] [emoji53]Aisee Jamii forum bhnaa...
wababa wengii...[emoji23][emoji23][emoji23]wazee ndo usisemee..Imekuaje jf mkuu....[emoji45] [emoji45] [emoji53] [emoji53]
Mngedondokewa huko chumbani???Kwanini mkuu...[emoji53] [emoji45]
Itakuwa ulikoma umalayaa mkuu...! Hukutaka kusikia tena habari kuhusu mademu...Mi niliwahi kula demu alitokaga mwanza akaja kwetu moshi likizo ya December tukiwa form two baada ya kula nikaambiwa anangoma nilikonda kwa mawazo nikatamani nijiue, nikashuka kimasomo kutoka nafasi ya 1 hadi 28 , nikakonda nikaapa sitarudia tena kufanya mapenzi, nikaanza kutafakari namna ya kubuni dawa ya UKIMWI nikatengeneza miti shamba yenye kuanzia na herufi U mpaka MWI sijajua kuwa ziliniponya au nilikuwa sijapata mana baada ya kumaliza form four nikasahau kabisa shida zote na sikuona dalili yeyote.
Nikaamini Mungu kaniponya na mpaka leo sijui kuwa yule binti yupo hai au vp mana sijawahi kumwona tena kwa sasa mimi ni mtu mzima kiasi nakimbiza 40 nina familia na sijawahi hata kupima nikakutwa na STD's Allah kaniponya na kunilinda.
Inaniuma sana hii issue mkuu...[emoji25] [emoji25]Mngedondokewa huko chumbani???
Kwan ukimwi unaambukizwa kwa kusex bos?Kwa kweli ajali ni ajali. Nakumbuka nimekutana na ajali nyingi za mapenzi . Wakati nikiwa kidato cha pili nilikutana na ajali ambayo siwezi kuisahau kamwe. Siku hiyo kulikuwa na wellcome. Form one ilipofika muda wa muziki kama saa 3 usiku hivi, kuna binti mmoja wa kidato cha tatu nilikuwaa nimeshafanya naye miadi tangu asubuhi kwamba usiku tufanye yetu. Yule binti sikujua kama ulikuwa ni mzigo wa second.
Sasa ilipofika muda wa kutekeleza miadi demu akanishtua muda umefika , basi tukaondoka kuelekea kwenye msitu mmoja uliokuwa jirani na shule , tumefika binti kavua nguo , sasa ile tupo kwenye romance(naingiza tu ) wakatokea jamaa watatu wakatushtua "pumbavu zenu mnafanya nini hapa" tukatimua mbio, kila mtu na uelekeo wake, cha kushangaza wale wakawa wananikimbiza mimi tu. Baada ya kuchoka nikasimama baada ya kusimama nikaja kugundua ni marafiki zangu wa darasa moja, wakaniambia utakufa dogo,yule demu anadate na secondmaster na second mwenyewe alikuwa ameungua . Siwezi kusahau huo mkasa kwa kweli kwa sababu nilikuwa napata ngoma live. Walale mahali pema peponi wote wawili, ( my secondmaster and my classmates) hiyo ilikuwa miaka ya 1996. Kama umewahi kukutana na mikasa kama hiyo tujulishane na jinsi ulivyopambana kuepuka au kutumbukia
Alishafariki miaka ya 2002huyo demu yuko wapi saivi
Jack mi nilikwambia humu ndani rafiki yako mimi tu ndo tunalingana badala unipe namba yako unagoma shauri yako...Duu..the world is not fair kwa kweli,1996 uko form 2 mimi ndo nina miaka 3
Au ndo ulikopatia mapengoNdiomaana nipo hai hadi leo
๐๐ hata mimi nimegundua hilo bossJack mi nilikwambia humu ndani rafiki yako mimi tu ndo tunalingana badala unipe namba yako unagoma shauri yako...