Vigodoro mi nilidhani ni pad maana nikiwa basoma xile pad za kike tulikuwa twaziita kigodoro
Hamjambo hapo Tandahimba? Kuna jamaa yangu hapo kijiji cha Bwiru hua unaendaga?
Yupo mkuu, hebu nipe tarakimu zake au anuani kamili nimchek ASAP... btw MISS U MINGI LOL!!!!!!!
Anaitwa Kitangiri anaishi Bwiru .
Shemeji mamboo! Kwani shem ungesema tu "pad" si ingetosha mpaka useme "pad za kike"?
Kwani wana wa kiume nao wana pad zao?
Nikisema pad tu watadhani writting pad
One day niliibia kuona hayo makitu kupitia kwa window hapa home. Huwezi tazama ni mama makubwa big wanavaa dira wanakatika as wako bed huku wamelala chini Mmmmm hakifai.
Yaaalaaahhh... Mie huku Tandahimba siyafahamu hayo!!!
One day niliibia kuona hayo makitu kupitia kwa window hapa home. Huwezi tazama ni mama makubwa big wanavaa dira wanakatika as wako bed huku wamelala chini Mmmmm hakifai.
Nakukubali kwa umahiri wa kucheza na lugha!
Haya umeshinda! Mji nakupa Nakapanya Ntwara .
Ni mtaalamu eeeh??