Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

Chai yangu daima ni tangawizi ambayo sitii sukari
Plus kitafunwa
Fatilia umuhimu/faida za tangawizi. Usije kunishukuru

Matunda yangu pendwa tikitiki maji, ndizi,
Ambayo hayo ni chachu Sana kwenye nguvu zetu. Fatilia na hizi

Mazoezi nafanya kwa kustua, Mara moja moja tu usiku.
Fatilia umuhimu wa pumzi kwenye kugegeda

Alafu sio mtu wa kupenda kugegeda gegeda
Hii inasaidia kuwa katika kiwango Bora[emoji41]
Ila siku nikiamua show, Basi ni show show

Vijana mkwama wapi?[emoji1][emoji1][emoji1]
Ntaijaribu hii mkuu.....now sina demu so niwe mpole ..ntaanza fukuzia wake za watu
 
2001527_img-20190124-wa0004-jpeg.1993309
 
Back
Top Bottom