Je umewahi ku Cheat?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,876
155,842
Mimi nimewahi kucheat kuanzia kwenye level ya urafiki, uchumba na ndoa. Nimekoma na nimeacha, wewe je umewahi kucheat? Ilikuwaje?
 
Mkuu taito ya thread yako inazengua. KU "CHAET"....

BTT: Naogopa kusema kwa kuwa sijui kama mai waifu wngu ni member huku, na labda anaijua ID yangu.
 
Trend inaonyesha ujakoma, ila umepumzika tu kwa muda, This is habit you can never leave it.
 
Yap nshawahi kucheat wakati nasoma nshawahi mdanganya mwalimu lkn alistukia kama nimemdanganya!
 
Mkuu taito ya thread yako inazengua. KU "CHAET"....

BTT: Naogopa kusema kwa kuwa sijui kama mai waifu wngu ni member huku, na labda anaijua ID yangu.
mkwe kwa sisi wazee wenzako tumeshajua jibu, ungekewa hujawahi wala usingeogopa presence ya wife wako, ha haaaaaa
 
Back
Top Bottom