Je umewahi ku Cheat?

dah!maswali mengine yanaweza kukufanya uanze kuangalia nyuma kama kuna mtu anachek unapost nini!
mi simo:bolt:
 
naogopa kusutwa mie
Mwanadamu is made up of three major parts, Body, Soul au nafsi ambayo inafanywa na vitu vitatu (Intellect, Free will na Emotions), halafu cha tatu ni spirit.

Elewa kuanzia leo kuwa spirit ni kipande kinachotokana na pumzi ya Mungu (angalia uumbaji wa mwanadamu) na kimsingi ndio mtu mwenyewe. Kwa maneno mengine ni kuwa binadamu ni roho, ana nafsi na anaishi kwenye nyumba inaitwa mwili.

Mtu sio mwili, na ndio maana tunasema mwili wa marehemu, maana yake ni kuwa mwenyewe hayupo mwenye huo mwili.
Biblia inathibitisha kuwa roho ndio mtu mwenyewe, Ufunuo 20:15 inasema kama jina la mtu halijaonekana kwenye kitabu cha uzima atatupwa kwenye ziwa la moto.

Siku ya hukumu hatutakuwa na miili yetu hii ya nyama, tutakuwa na miili ya rohoni. Ndio maana mtu akiitwa Fatuma ni roho yake ndio inaitwa Fatuma.

Baada ya hapo sasa kifo simply ni roho ya mtu ambayo ndio mtu mwenyewe anaondoka kwenye nyumba yake na kuacha pagala ambalo ni mwili. Mara nyingi anaiacha nyumba yake inapokuwa na matatizo either inavuja (magonjwa, nk). Mtu anapokufa hawezi kusema amekufa, yeye anajiona ameondoka tu na yupo sehemu nyingine.

Hii term ya kufa tunaijua sisi wanadamu lakini yule aliyekufa anajiona amechukuliwa na malaika au mashetani kulingana na jinsi alivyokuwa anaishi hapa duniani. Na ndio hapo eternity inapoanza...

Hili ni somo pana kidogo, mara nyingi Yesu alikuwa hatumii term kufa alikuwa anasema amelala na inabidi aamshwe, kwa Mungu kufa ni eternal separation kati ya Mungu na mwanadamu kwa kutupwa kwenye ziwa na moto au jehanum.

Sasa kwa fact hiyo ndio maana Yesu alipofika kwenye kaburi la Lazaro aliita LAZARO NJOO!!! alifanya hivyo kwa sababu anajua kuwa Lazaro sio ule mwili, ila yupo somewhere na anaweza kuisikia sauti ya Yesu na kurudi kwenye nyumba (mwili) yake, na ndivyo ilivyokuwa.​

Du! haya
 
Mimi nimewahi kucheat kuanzia kwenye level ya urafiki, uchumba na ndoa. Nimekoma na nimeacha, wewe je umewahi kucheat? Ilikuwaje?

nikikumbia utaenda kunisemea......SITAKI....nshakushtukia hahahahaaaaaaa:high5:
 
Back
Top Bottom