Pole ndugu,usiiangalie jana kwa hasira,kwani uliyoyapitia ndiyo yamekufanya leo uwe kama ulivyo,mshukuru mola kukuvusha salama. Changamoto ndizo zinatufanya tukomae akiliMaisha niliyopitia mimi nikiamua kuhadithia hapa wote mtamwaga machozi.
Hapa nina maanisha kufilisika/kufulia kukosa uhakika wakupata angalau chai kwa siku. kutengwa na ndugu. kukosa kazi muda mrefu, Kuugua na watu kukutenga, kukosa kodi ya nyumba./mahali pa kulala, kusingiziwa kwamba hutafuti kazi au kusemwa umelogwa ndugu kusema una laana.
Kukatishwa tamaa kwamba Mungu kakuacha,kwamba unasali uwongo
Kudharauliwa na mambo kama hayo na je?
Uliweza vipi kuchomoka katika hali hiyo?
KARIBU KUFANYAKAZI KAMA YANGU MIEmimi bado napitia sijaweza kuchomoka kwenye tatizo la ajira
Asante sana mkuu.Pole ndugu,usiiangalie jana kwa hasira,kwani uliyoyapitia ndiyo yamekufanya leo uwe kama ulivyo,mshukuru mola kukuvusha salama. Changamoto ndizo zinatufanya tukomae akili
FUNGUA MLANGO NIPITE BHANA!aisee hali hyo ni mbaya vibaya mno!!! ukitaka kuchomoka ni MUNGU tu ndo atkuchomoa kwa njia zozote.