Je umeshawahi kufanya wajibu wako kama mlimwengu?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,699
31,509
Wasalam wana JF

Wahenga walisema: ASIYEFUNZWA NA WAZAZI WAKE ATAFUNZWA NA ULIMWENGU.

Mimi na wewe ndiyo either wale wasiofunzwa na wazazi au ndiyo walimwengu wenyewe.

Swali langu kwako, je umeshawahi timiza wajibu wako kama mlimwengu?

Mimi nimetimiza wajibu huo mara nyingi kwa slay queens wengi kwa kukataa invoices zao fikirishi

Pia niimekua na misimamo thabiti smbayo imegarimu maisha yangu na ya wengine kwaajili ya kusimamia ukweli na kufikisha ujumbe sahihi

Kazi hii ni ngumu na inataka uwe na misimamo thabiti

Japo, kila ninapotimiza wajibu wangu kama mlimwengu nina farijika na ninaamini kwamba nina waenzi wahenga.

Walimwengu kama walimwengu nawaita, mkuje
 
Nakumbuka 2018 wakat naripoti ngomeni(gerezani),nilipomaliza kuandikisha bwana jela akasema "huku hakuna mama ako kama ulishndwa kum-bembeleza hakimu,sisi ndio walimwengu tutakufunza"
 
Dadeki hahahahahaa
 
Nilimfunza fundi maiko mmoja niliokmuta akitoa material kwenye site niliyokua nasimamia ujenzi wake...kichapo alichopata hatokaa asahau yule.... na nina imani ameacha udokozi huko aliko.
 
Hakika bwana jela ni mlimwengu
 
Nakumbuka 2018 wakat naripoti ngomeni(gerezani),nilipomaliza kuandikisha bwana jela akasema "huku hakuna mama ako kama ulishndwa kum-bembeleza hakimu,sisi ndio walimwengu tutakufunza"
Hebu tuelezee uliyofunzwa mkuu. Je nimabayatu au yapo mazuri?
 
Nilimfunza fundi maiko mmoja niliokmuta akitoa material kwenye site niliyokua nasimamia ujenzi wake...kichapo alichopata hatokaa asahau yule.... na nina imani ameacha udokozi huko aliko.
Hakika fundi Michael alikutana na mlimwengu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom