Je umemuona kijana huyu

Je umemuona kijana huyu

Status
Not open for further replies.
Dah poleni. I can just imagine the trauma.
I hope hawajamdhuru zaidi.

Huyu ni nani wako? Nimetiwa moyo mno na bidii yako kwenye kumtafuta.

Usiwalaumu sana polisi. Kuna kituo cha polisi niliingia kuripoti kuibiwa documents, aisee kidogo nitapike. Kulikuwa kuchafu na kuna kachoo ka shimo nadhani kako kwa nyuma kananukaa! It was just pathetic nolihakikisha siondoki na mende, viroboto wala kunguni. Polisi wanafanya kazi kwenye mazingira magumu kuliko hata madaktari. Ndio maana wana roho mbaya na hamna kinachowastua mioyo yao ya bati.
 
Kweli acheni Mungu aitwe Mungu, pole lakini tunashukuru amepatikana yaani hata kujibu nilishindwa. Blessings
 
Wakuu Preta na Haluszedzele naomba muidelete picha ya kijana kutoka post mliyoniquote. Mkuu Izz wewe naomba uifute RB# kwenye post uliyoniquote.
Mkuu Invisible, kama kuna uwezekano naomba usaidie hili na kufunga thread. Ahsanteni Mndee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom