Nimegundua kitu kimoja, hivi ambacho kitamu sana, nini! Ni hivi ( jamaa kwa kua Tramp ni m'baguzi hasa kwa watu weusi basi naye kaona mkono wa Tramp ni wanuksi ndo maana akaamua kubadilisha hiyo fimbo mkono huo aliyeko huyo Tramp ili asitoe mkono wake kwa Tramp