Prince toyboy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 375
- 366
Kaaah!!! na Mimi natakaNjoo nikukune!!! Shoti ya kupewa na mwingine ni raha zaidi.
Kaaah!!! na Mimi natakaNjoo nikukune!!! Shoti ya kupewa na mwingine ni raha zaidi.
Wewe huna wivu ila una bahatisha kukwazikaAisee omba msamaha tu
Maana ninawivu sana zaidi ya jux
Duuuh unataka kijana ajione ni bingwa wa kupendwaNimeokoka. Ndo mana nampenda zaidi Mondray wangu
Kumbe unakuwaga na point eeh, au umegoogleMkuu bado hujaweka wazi nini kinatokea kwenye mahusiano kama mtu ana ulokole...
Yaani habari haina cohesion...! Bado tatizo hujaliweka wazi...
lengo langu haswa ni ushauri tuuHakujipanga huyuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au kaleta tu ushauri.
hamchelewi kunyofoa... acha nijikune mwenyewe tu..!!!Njoo nikukune!!! Shoti ya kupewa na mwingine ni raha zaidi.
Mimi Unaninyima?kabisa tusinyimane neno pana sana hili
nipe nikupeMimi Unaninyima?
Tupeane sio?nipe nikupe
Nabii feki anajitafunia zigo...Kuna uncle wangu mkatoliki mke wake kaokoka. Duh! Yule mama kuanzia J5 mpaka Jumapili anashinda kanisani na kurudi nyumbani saa 3 usiku. Mume anarudi home saa 12 jioni. Hajui mumewe anakula chakula gani au kama ana mahitaji mengine. Anasali kwa 'nabii' fulani hivi. Huyo nabii anaweza piga simu anytime akiomba usafiri in case gari yake ina matatizo. Aunt yangu ndiye anakuwa dereva. And when things go wrong you start cursing the poor devil. Kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468]Fanya ulokole koote
Ila kitandani haupendeziiiiiii
Kweliiii hakuna cha mungu wala aibu pale[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468]
Mi sipendiKweliiii hakuna cha mungu wala aibu pale
Nadhani hata wanaume wanapenda hii
Hupendi nini??Mi sipendi
Sipendi mbwembe kitandaniHupendi nini??
Kwahiyo unapenda ulokole mpaka kwa bed????Sipendi mbwembe kitandani
NdioKwahiyo unapenda ulokole mpaka kwa bed????