Je, ulokole una nafasi gani katika mahusiano?

Je, ulokole una nafasi gani katika mahusiano?

Ulokole wa mhimu ni dhumuni la kuishi na kwenzio katika mahusiano.Dunia ya leo siyo ya jana,ulokole unatumiwa sivyo.Kwa wengine wengi umekuwa sehemu ya kufichia maovu yao.Na wengi wao ndo wenye ufuska. Ma bibi zetu na mama zetu sawa walikuwa washamba,lakini,umewahi kujiuliza huyu mrembo naemtaka au huyu mkaka kazaliwa wapi,na nani? Utamtaka tu kumbwe kwao hata mkeka wa kukalia hawapo.Sasa kama kweli ni mlokole wa kweli si kwanza akawakumbuke wazazi wake? Mchana mlokole,jioni anataka wine na kuku mzima. Hivyo bora kahaba anaejiuza kuliko walio wengi wanaojiita walokole. Hawaliziki
 
Huu Uzi mbona unanihusu mie aisee, ngoja nipunguze majukumu kidogo mda Fulani nitafunguka hapahapa tushauriane kama kweli mna nia ya kutusaidia cc tunaotaka kuoa walokole.
Mjipange
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom