Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,390
Au nimeangalia vibaya jamani?
Hahhhahhhahhaa [emoji23][emoji23][emoji23]..watu mnajua kutuchekesha..dah
Hahhhahhhahhaa [emoji23][emoji23][emoji23]..watu mnajua kutuchekesha..dah
Watu wametofautiana,huo ni mtazamo wako.
[emoji16][emoji16]sio vizuri ila ndoivo..wala hujaangalia vibaya. HahaAu nimeangalia vibaya jamani?
Unachokisema nimeshawahi pitia,,,pole Sana najua maumivu yake.Nimetumia almost mwaka ila bado naumia
Ukimpata atakayesuuza mtima wako ndo utaelewaNadhani niko tofauti maana sijawahi kuexperience hali hiyo.
Ila kuwa makini kuna magonjwa.Ndio nilishawahi....kipindi sijajua ubaharia....yule demu wangu wa kwanza aliyenibikiri...heheheee.....nilikaa mwaka mzma sielewi A wala B.
Daaaaaahhh.....saiv nishaacha kupenda penda ovyo...nakula papuchi tu ....then mbeleeee
Yeye ndio alikukosea?
😆😆😆 say it againSikikiliza ww mtoa maada. Jua kutofautisha kati ya love na upuuzi mwingine. Love is not blind, it has a 20/20 vision.