LAWRENCE SIMION
Member
- Jul 27, 2019
- 20
- 15
Binafsi bado. Ila Mimi Mwanamke Nampa chaguo la mwisho kabisa katika maisha yangu.Je, tangu uanze mapenzi ulishawahi kuwa na mtu ambaye ulimpenda kwa moyo wako wote hadi ukawa kipofu kwa yote mabaya uliyoyaona kwake, ukawa kiziwi kwa yote mabaya uliyoyasikia kwake lakini mwishowe huyo mtu akaja akakuacha. Je, ulikuwa katika hali gani ulipoachwa, na je ilikuchukua muda gani kumsahau huyo mtu?View attachment 1167135

