Je, ukweli humuweka mtu huru?

Je, ukweli humuweka mtu huru?

Sio kila ukweli huweza kumuweka mtu huru aiseeeee...... Ebu tuache kuishi kwa kukariri
 
Mwanaume kamili awezi kusema upuuzi kama uo,. Utakuja pasuka roho pale nae atatakapo jiweka huru kwa kukuambia alimegwa na mshikaji wako
 
Kila mtu ana historia...sio kila kitu ni cha kumwambia mwenzi wako.
 
Inategemea na aina ya ukweli...mwingine utakuweka huru mwingine utakuweka shakani...Hata na hivyo muda mwingine yafaa kukaa kimya
 
Back
Top Bottom