Je Uko Huru?? Jitathmini.....

Je Uko Huru?? Jitathmini.....

Hata mkulu alisema not to zat eksitenti

Hahahahahhahaaa na akamalizia watch out......

Kuna katoto kamoja kanaitwa Lawrence (Monkey Pie) anamjua, hako katoto kakimuona tuu mkulu kwenye luninga kanaanza kusema KAATA!! yaani KA! TA!!😛😀 natumai umeelewa. ..
 
Hata ku coment hapa nimeomba ruhusa[emoji43] [emoji43]

...And I can’t quit...

Ooh pole, wakati mwingine kwenye maisha, mtu akiwa huru ni hatari kwa usalama wa maisha yake hivo akiwa kifungoni huwa suluhisho.
 
Nafikiri tungeanza kwa kupata tafsiri ya neno uhuru kwanza. Hii mada ni pana sana na uhuru unatofauriana kati ya mtu na mtu kulingana na wanavyochukulia neno uhuru kwao.

Kuna kanuni au taratibu za kiimani, sheria za nchi, kazini, mila na desturi, malezi na utashi wa wazazi/walezi...

Mwisho wa siku, hauwezi kumfurahisha kila mtu ila jitahidi usivunje sheria tu..kuna mambo utafanya hata nafsi yako haikubali au haipendezwi nayo.
 
mie pia siko huru! maana sina njaa lakini nipo jikon napika ili familia ile... sijui nasaidiwaje hapo! [HASHTAG]#naanzishaMaandamano[/HASHTAG]

Hahahahaaa kuna tofauti ya majukumu na uhuru..... kifungo kikubwa kilichotufunga ni muda... kina siku nilikuwa natafakari nani aliyepanga muda.... na huyo aliyepanga alikuwa anawaza nini.... kwanini saa moja ikawa na dakika 60 kwanini siku ikawa na masaa 24 kwanini mwaka ukawa na miezi 12.... vyote hivi ndo vinavyotufunga.... Mfano. ...

Uwahi kuamka ili upate stafutahi kabla mchana haujaingia ambao unaanza saa sita kamili hapohapo muda unakukumbusha ujiandae kupata mlo wa mchana kabla adhuhuri haijaingia wakati huo huo unatakiwa upate mlo wa usiku walau kabla ya saa 3 usiku na ulale kabla ya saa sita usiku.
Je, nani anaweza kuufungua muda? Je,baada ya kifo bado muda ni kifungo?
Kandanda ni dakika 90 na ili kuwe na nyongeza ya muda ni hadi katikati ya mchezo mtu aumie na itaongezwa si zaidi ya dakika 10.
Kigezo kingine cha nyongeza ya muda ni iwapo mtamaliza dakika 90 bila kufungana hapo mtaongezewa nusu saa aka dakika 30 zikiisha hamjafungana ndo mnapiga penalties hadi apatikane mshindi.

Muda... muda muda.... nani afungue kifungo cha muda? Ushasikia watu wakisema uzae mapema ukichelewa hutoweza kuzaa....
Hata sielewi tena na mimi naona uhuru imekuwa si uhuru.

Ngoja niendelee kuburudika na Lucky Dube...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom