Je, ujenzi wa reli unaishia Dodoma au unaendelea?

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Habari wakuu nilikuwa natamani kujua je ujenzi wa reli ukifika Dodoma utaendelea mbele? Na kama utaendelea awamu hiyo inaanza lini?

Nia ya kuuliza ni kwamba walituma maombi hapa VETA Songea wakihitaji mafundi na baada ya kupewa majina wapo kimya ni mwezi sasa na ujenzi unakaribia kwisha.

Je, kuna awamu nyingine?
 
Jibu namba 1.
Awamu nyingine ya tatu ipo. Imeanzia Mwanza hadi Isaka, Kahama mkoani Shinyanga na mkandalasi toka China tayari yupo eneo husika kwa maandalizi ya ujenzi. Ina uredu wa zaidi ya kilomita 200.

Jibu namba 2.
Awamu ya Pili ni ya Morogoro kwenda Makutupola ya Manyoni mkoani Singida. Hii wengi huiita Morogoro hadi Dodoma lakini ukweli wenyewe hii reli imevuka Dodoma na wilaya yake ya Bahi imeenda hadi Makutupola ya Singida. Ujenzi unaendelea na imefikia 56% ya ujenzi wote.

Jibu namba 3.
Kipande cha Makutupola Singida hadi Tabora hadi Isaka bado hakijapata pesa ya ujenzi.

Pia kipande cha kutoka Isaka, Manispaa ya Kahama hadi mpakani mwa Burundi na Rwanda au Uvinza mkoani Kigoma kama sijakosea bado hakijapata fedha za ujenzi
 
Nashukur kwa ufafanuz mim ni miongoni mwa mafundi ishrini ambao walituhitaji kutoka veta lakni tangu wapewe majina mwezi sasa wapo kimya hawajatuita kazini ndyo maana nikahtaji ufafanuzi nashukuru kwa maelezo

Back
Top Bottom