Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,691
- 218,201
amina , maana Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye kusubiri .
Kwani lazima uandike thread kila siku, hivyo vita vyako vinapiganiwa wapi?Kila upatapo nafasi ya kumuomba na kumshukuru mungu wako yafaa ufanye hivyo, kwani kila andiko lenye pumzi ya mungu linamafaa kwa muamini.
Harakati zozote zile za ukombozi wa mnyonge ili zifanikiwe yafaa jina la bwana liwe juu yao!!!
Ma thinker kila mtu kwa imani yake amuombe mungu! Twendeni makanisani na misikitini!!!!!!!!!!!!!!
Kila upatapo nafasi ya kumuomba na kumshukuru mungu wako yafaa ufanye hivyo, kwani kila andiko lenye pumzi ya mungu linamafaa kwa muamini.

Kwani lazima uandike thread kila siku, hivyo vita vyako vinapiganiwa wapi?
Ni ngumu watu kukuelewa japo hapo ndipo iliposhida ya mtu mweusi!!Mungu kawekwa kando YASIYO HAKI YAMESHIKA HATAMU.Kila upatapo nafasi ya kumuomba na kumshukuru mungu wako yafaa ufanye hivyo, kwani kila andiko lenye pumzi ya mungu linamafaa kwa muamini.
Harakati zozote zile za ukombozi wa mnyonge ili zifanikiwe yafaa jina la bwana liwe juu yao!!!
Ma thinker kila mtu kwa imani yake amuombe mungu! Twendeni makanisani na misikitini!!!!!!!!!!!!!!
Kila upatapo nafasi ya kumuomba na kumshukuru mungu wako yafaa ufanye hivyo, kwani kila andiko lenye pumzi ya mungu linamafaa kwa muamini.
Harakati zozote zile za ukombozi wa mnyonge ili zifanikiwe yafaa jina la bwana liwe juu yao!!!
Ma thinker kila mtu kwa imani yake amuombe mungu! Twendeni makanisani na misikitini!!!!!!!!!!!!!!
tuanze na vita zifuatazo:
tokomeza sumu
tokomeza watindi
tokomeza kujiteka
tokomeza kujilipua
tokomeza uhafidhina.
Vilevile ukumbuke unakesi ya kujibu mahakamani kwa ajili ya tamthilia mlioitunga na ben14HRS