Je,tuuiteje?! Udini shuleni?

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
Wanafunzi wa shule ya sekondari Ndanda,iliyoko wilaya ya Masasi, wamefukuzwa shuleni jana. Hii ni pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita! Sababu kubwa ni baadhi ya wanafunzi wa imani ya dini ya Kiislamu kutotimiziwa ahadi ya kujengewa nyumba yao ya ibada kwa muda mrefu sasa. Chanzo kinasema ilifikia hata 'parade' za 'assembly' asubuhi,wanafunzi wa imani hiyo,kuanza kujitenga na wenzao! Habari zaidi tutaendelea kujuzana..
 
Inasemekana kuna ukumbi,unaotumika kwa ajili ya ibada [za waumini wote?],ambapo yawezekana kwa mujibu wa imani,ni vigumu kuchangamana,hata kama ni siku tofauti za ibada..
 
Inasemekana kuna ukumbi,unaotumika kwa ajili ya ibada [za waumini wote?],ambapo yawezekana kwa mujibu wa imani,ni vigumu kuchangamana,hata kama ni siku tofauti za ibada..

Haya majamaa sijui yamemezeshagwa nini hata hayajui kupima situations.Kwani kuna infections gani wanazipata iwapo watatumia ukumbi mmoja kwa wakati tofauti? MBONA KAZI TUNAYO..
 
Mbona shule nyingi sana miaka hii.pata kitu roho inapenda.
 
Kabla ya kuenda mbali na kurushiana maneno... Mnafikiri bottom line ya suala la wasekondari hawa ni nini?! Hamuoni kama iende kwa mawaziri husika,for final declaration ya ishu kama hizi kwa mashule yote ya serikali,na Ndanda Sec kwa ujumla?
 
Those students are but fools. Kwani walikwenda pale kuwa mitume au wasomi? Kwanini kama walikuwa wanataka msikiti hawakusema mapema wakati wakijiunga na shule hiyo kuwa wameenda pale kufanya daawa? How stupid are they especially at this time of need? Go to Mecca guys you will be given every space to buid masajid.
 
Hiyo nikazi kweli2,sasa hao wanafunzi walifuata shule walifuata mahala pa kuswali,wajaribukuweka uzito kwanza kitu kilichowapeleka pale shule,Wanadanganyana hao , Hiyo adhabu haki yao warudi kuswali nyumba wakichoka watarudi kutafuta shule na kusoma bila kuwaza mahala pakuswalia
 
I really agree with you on this..
 
Hiyo nikazi kweli2,sasa hao wanafunzi walifuata shule walifuata mahala pa kuswali,wajaribukuweka uzito kwanza kitu kilichowapeleka pale shule,Wanadanganyana hao , Hiyo adhabu haki yao warudi kuswali nyumba wakichoka watarudi kutafuta shule na kusoma bila kuwaza mahala pakuswalia

Kimtazamo na kimantiki, hawana hoja ya maana kuizidi ile ya kilichowapeleka kule..Basi!
 
wakiwa porini wanaswalia wapi? Waache unafiki POPOTE UNAPOSWALIA MUNGU ANAPOKEA IBADA ILMRADI WAKATI UNASWALI UFATE KANUNI ZA SWALA!
 
Sasa viongozi wa kiroho.......au wa kidini wa hawa mabwana wapo wapi? hawakuweza kuongea nao kwa busara?
au ndo waliowaambia wafanye fujo wapate msikiti.
 
Kuna mambo najaribu kujiuliza, kwa mwenyeji wa ndanda anaweza kunisaidia, kuna misikiti karibu na shule hiyo labda? wanafunzi (wanaopenda) wanaruhusiwa kwenda kuswali? Na wanaruhusiwa mda gani? kwa sababu tunajua muda wa vipindi mashuleni. na lini?
Ni kweli iko haja ya kuwa na msikiti hapo shuleni? au labda pana kanisa? je kuweka msikiti kwa sababu pana kanisa ndio njia pekee ya kutatengeneza usawa?
Hii ndiyo bottom line kwangu.
Bahati mabaya tabia za binadamu ni ngumu kuzitabiri, unaweza kukuta kwamba kuna katika hao waliogoma kuna ambao hata pangekuwa na msikiti huwa hawaendi na wala wasingekwenda kuswali.
Ukiniuliza mimi shuleni ni mahali mtu amekwenda kusoma, naelewa kila mtu ana dini yake ambayo inapaswa kuheshimiwa na ndiyo maana tukapewa siku ya ijumaa kuwa nusu siku kwa ajili ya hilo, na pia jumapili!
Huwa nakereka sana pale watu wanapoamua kufanya suala la dini kama ni la vikundi! Mmoja mmoja tunafanya mambo ya aibu halafu katika vikundi tunajifanya wamoja na kudai haki bila kujua kuwa hakuna haki iliyo bila wajibu!
Imani yangu ni kwamba, moja, hakuna dini nzuri au mbaya, kwa sababu wengi wa waumini (ukiacha wale ambao labda kwa sababu moja ama nyingine waliamua kubadili) walijikuta kwenye dini kutokana na malezi waliozaliwa wakayakuta. Mbili, dini inapaswa kutufanya tuwe wema zaidi, tupendane zaidi, kwa ujumla tutende matendo mema coz Mungu ni mmoja.
 
kwanini wachanganyike na makafiri chumba kimoja. Wanaingia na viatu sehemu takatifu. Wasiochagua kuwa za kuingia nazo sehemu takatifu.
Nasema NO!. Hongera vijana kwa kusimamia msimamo wenu.

Wape hongera kwa sasa, ni suala la muda tu utakuja kuwatukana mwenyewe watakapofeli mitihani..
Ndiyo kawaida yenu, mkirudi kula matapishi mnatuambia kuwa tuliwanukuu vibaya!!

Back
Top Bottom