Je Tutapona wenye wapenzi UDSM & Mzumbe?

Wadau kuna budi kutafakari tatizo ni nini? Hao wanashawishika kutokana na serikali kuwaacha njiani, utasoma bila ya kula kweli?
 
Rais wa awamu ya pili wa JMT Ndg Ali Hassan Mwinyi ashawahi kusema, "ukimwi Mwenyezi Mungu kauweka mahala pabaya sana...", hivyo wanafunzi wa vyuoni acheni ufuska la sivyo elimu mloipata itakuwa kazi bure.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom