Madenge Origino
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,847
- 1,096
Mimi huwa nasema tatizo ni maalimu SEIF!
tatizo ni CCM na Ufisadi wa madaraka. madikteta wote duniani nao huwa wanahoja hizo hizo kama zako!
Mimi huwa nasema tatizo ni maalimu SEIF!
Msituletee mambo ya enzi hizo! Sisi hatukuwepo huko tunachojuwa sisi huu ni ulimwengu wa demokrasia, msilazimishe vitu ambavyo havipo hatuna haja ya kuendeleza historia zisizo Na faida huo.ni upumbavu kutuimbisha wimbo tusio ujuwa. Wala usio Na faida Na nchi.