Ninatamani unielezee maana na faida zake katika mazingira haya ambayo, nillyekuwa namjibu alisema serikali ya Zanzibar ilipatikana kwa mapinduzi ya kutumia silaha na wala si kwa kutumia kura, akimaanisha CCm itaendelea kutawala na haitaondolewa kwa kura.
Kwa mantiki hiyo, akimaanisha kwamba mapinduzi yalikuwa ya kumtoa Sultani na kuitawaza ccm mahala pake na hivyo, kwa kuwa ccm ilitawazwa kwa nguvu za mtutu, ndiyo sababu inalinda utawala wake kwa bunduki.
Sasa kaam ndivyo, kwa nini kupiga ama kupigisha watu kura? Ndiyo hoja yangu ilikoanzia.