Je, tutafika; mahojiano na balozi Karume

Je, tutafika; mahojiano na balozi Karume

Msituletee mambo ya enzi hizo! Sisi hatukuwepo huko tunachojuwa sisi huu ni ulimwengu wa demokrasia, msilazimishe vitu ambavyo havipo hatuna haja ya kuendeleza historia zisizo Na faida huo.ni upumbavu kutuimbisha wimbo tusio ujuwa. Wala usio Na faida Na nchi.
Ukiita historian ni UPUMBAVU maana take hutaki kumaliza tatizo. Wakati ndani ya nchi wako wanaheshimu MAPINDUZI ya wanyonge wako wanaojiona wa daraja la juu wanaoona Uhuru wa bandia aliopewa Sultani 1953 ndiyo wenye nchi na hawayajtambui hayo mapinduzi wala Muungano uliofanyika ili kulinda Mapinduzi. CUF kama chama kwa bahati mbaya upande Wa Zanzibar kimeungwa mkono wahafidhina Wa daraja hili hivyo mvutano no dhahiri.
 
Nina hisia si muda mrefu wazanzibar watafuata ushauri wa marhum Asha Bakari au tabiri za Lukuvi zitatimia na pengine ushauri wa Karume balozi juu wa chama kimoja tu kutoa rais utazingatiwa .
Na yakitokea ya kutokea onyo la amiri jeshi mkuu la kufyokoa wazanzibari litatimia na zanzibar itabadili rangi tu
 
Mkuu hebu tuelezee neno Mapinduzi kama linavyotumiwa na CCM (CHAMA CHA MAPINDUZI)
Alilokusudia Nyerere wakati ule no Mapinduzi ya Kifikra, Kumbuka TANU na baadaye CCM kilobit an an Aisha kuwa no Chama cha Wakulima na Wafanyakazi, Mapinduzi yalikusudiwa ktk uzalishaji Mali, Mapinduzi ktk Kilimo toka Jembe la mkono hadi kutumia Jembe la Pilau na Trekta, na Elimu. Lakini pia kuonyesha kuendelea kuheshimu na kulinda mapinduzi ya visiwani
 
Alilokusudia Nyerere wakati ule no Mapinduzi ya Kifikra, Kumbuka TANU na baadaye CCM kilobit an an Aisha kuwa no Chama cha Wakulima na Wafanyakazi, Mapinduzi yalikusudiwa ktk uzalishaji Mali, Mapinduzi ktk Kilimo toka Jembe la mkono hadi kutumia Jembe la Pilau na Trekta, na Elimu. Lakini pia kuonyesha kuendelea kuheshimu na kulinda mapinduzi ya visiwani

swali la nyongeza pia. kwanini Chama cha Mapinduzi hakina translation ya kiingereza. au ndio kudumisha kiswahili chetu au yalikuwa matakwa ya wazanzibar tu neno mapinduzi lazima liwepo tu ili kulinda mapinduzi ya visiwani ?
 
Ninatamani unielezee maana na faida zake katika mazingira haya ambayo, nillyekuwa namjibu alisema serikali ya Zanzibar ilipatikana kwa mapinduzi ya kutumia silaha na wala si kwa kutumia kura, akimaanisha CCm itaendelea kutawala na haitaondolewa kwa kura.

Kwa mantiki hiyo, akimaanisha kwamba mapinduzi yalikuwa ya kumtoa Sultani na kuitawaza ccm mahala pake na hivyo, kwa kuwa ccm ilitawazwa kwa nguvu za mtutu, ndiyo sababu inalinda utawala wake kwa bunduki.

Sasa kaam ndivyo, kwa nini kupiga ama kupigisha watu kura? Ndiyo hoja yangu ilikoanzia.
Zanzibar haiwezi kurudishwa kwa mwarabu labda wafanye mapinduzi.
 
Mbona hata yeye , Balozi Karume ni Mwarabu au kwa kuwa yuko CCm? Shida ya Zanzibaba ni ubaguzi kwa kigezo cha kittu kinaitwa mapinduzu! Mapinduzi yenyewe yanayong'ang'aniwa ni ya kutumia marungu! Wamuulize Castro, atawambia mapinduzi ni kitu gani.
Mapinduzi ni kuitoa serikali madarakani na si lazima kwa bunduki na mizinga hata kwa nyembe na visu vya kukunja pia ni mapinduzi, ulaya mashariki wananchi wakichoka huingia mitaani na kuteka majumba ya bunge na serikali bila hata ya panga nayo pia ni mapinduzi.
 
Sikuamini anasema haiwezekani kumpa nchi mtu ambaye hakutaja jina lake akisema ni mwakilishi wa Sultani wa Oman. Anawakilisha ZPP na PPP vyama vilivyopindiliwa 1964. Is this real.
Mimi nimesha msikiliza na kumsoma sana huyu Mheshimiwa ila mara nyingi huishia na kutomwelewa.
 
Mfalme wa Oman bado anadai Zanzibar ni yake na Seif anapata misaada toka Oman na Seif anatumikia hao waarabu , sasa nani amwamini ? Watu walopindua na kupinduliwa 64 wapo kibao sasa mnategemea nn, ? Mapinduzi Daima
 
Mkiacha ubaguzi mtaenda mbele hatia mia.Kwa Ubaguzi mlionao mtaishia kuvaa T-shirt za kijani tu.Kama Marekani wangekuwa kama nyinyi wabaguzi sidhani kama Raia wa Kenya angeweza kuwa Rais.Tujifunze kukubali katika kutokubaliana.Hakuna binadamu anayependa kubaguliwa.

Hakuna asiekuwa Raia wa Marekani kishawahi kuwa Rais wa Marekani, Moja ya Sharti la kuwa Rais wa nchi yoyote ni kuwa Raia wa Nchi hiyo. Kama unazungumzia Obama ni Raia wa Marekani tena wa kuzaliwa. Ukenya ni wa Baba yake Obama Professor Hussein Obama lakini hata Umamani kwa Obama ni Raia wa kuzaliwa.
 
Kosa kubwa la kiufundi lililofanyika baada ya mapinduzi ni kutokuwepo maridhiano kuondoa ubaguzi na chuki vilivyoshamiri Zan. Kwa sababu hii mfumo wa vyama vingi haukustahili. Leo cuf ikishika dola hali itakuwa mbaya tena sana. Wazanzibari wakae chini watafute maridhiano. Hili likishindikana naona hoja za Ali Karume zina mashiko.
 
Hakuna asiekuwa Raia wa Marekani kishawahi kuwa Rais wa Marekani, Moja ya Sharti la kuwa Rais wa nchi yoyote ni kuwa Raia wa Nchi hiyo. Kama unazungumzia Obama ni Raia wa Marekani tena wa kuzaliwa. Ukenya ni wa Baba yake Obama Professor Hussein Obama lakini hata Umamani kwa Obama ni Raia wa kuzaliwa.


Jee seif yeye ni raia wa wapi na kazaliwa wapi? Hivi pale alipokuwa ccm alikuwa ni mtanzania lakini kwa vile sasa ni mpinzani ndio kawa raia wa oman sio. Huo ndio ujuha wa ccm.
 
Siamini hii nchi inatia huruma hivi. Nilichosikia ktk hiki kipindi , nilidharau sana hii nchi na nimejidhihirishia kwanini wa chapa kazi na watu wenye akili timamu wanachukiwa hivi.
 
Chakushangaza ni kwamba mtume Muhadamad ni mwarabu na wote wanamnyenyekea, sasa sielewi vizuri tatizo ni uarabu au madaraka? Waifute dini ya Kiislamu ambayo ni dini ya waarabu hapo hata mimi nitaanza kuwaelewa ccm wa Zanzibar.
 
Sikuamini anasema haiwezekani kumpa nchi mtu ambaye hakutaja jina lake akisema ni mwakilishi wa Sultani wa Oman. Anawakilisha ZPP na PPP vyama vilivyopindiliwa 1964. Is this real.
Mimi huwa nasema tatizo ni maalimu SEIF!
 
Mimi huwa nasema tatizo ni maalimu SEIF!
Tatizo na muundo wa dola. Na kujaa watu wa sio na weledi Wala fikra sahihi. Km serikali imejaa wa sio na sifa za uraia km maalim, kinachofanyika ni km vipi kwamba wachaga hawastahili kushuka dola, ila wahindi, wa fundi etc Poa. Taratibu wageni watajaa kuliko wacheza ngoma. Then , hii nchi itaamuliwa na the smartest and the fittest.
 
Ni kweli kabisa! Haiwezekani kuangamiza Taifa kwa kisingizio cha demokrasia! Maslahi mapana ya kitaifa hayaruhusu kibaraka kupewa nchi!
Sijui km unaendelea kujua tena au una matarajio nayo? Maalim niwahi kuwa mkubwa ktk Ccm na alikaribia kuwa rais.
 
Back
Top Bottom