Je, tutafika; mahojiano na balozi Karume

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Sikuamini anasema haiwezekani kumpa nchi mtu ambaye hakutaja jina lake akisema ni mwakilishi wa Sultani wa Oman. Anawakilisha ZPP na PPP vyama vilivyopindiliwa 1964. Is this real.
 
Wote hao wachumia tumbo tuu. All their lives they have lived on favours na kujikomba kwa watawala. So they have to sing and say what politicians want to hear. Magufuli hayo ni majipu yatose yakahangaike mtaani.
 
Tatizo Maalim Seif haaminiki. Zanzibar ilichukuliwa kwa mapinduzi siyo karatasi za kura.
 
Sikuamini anasema haiwezekani kumpa nchi mtu ambaye hakutaja jina lake akisema ni mwakilishi wa Sultani wa Oman. Anawakilisha ZPP na PPP vyama vilivyopindiliwa 1964. Is this real.
Mbona hata yeye , Balozi Karume ni Mwarabu au kwa kuwa yuko CCm? Shida ya Zanzibaba ni ubaguzi kwa kigezo cha kittu kinaitwa mapinduzu! Mapinduzi yenyewe yanayong'ang'aniwa ni ya kutumia marungu! Wamuulize Castro, atawambia mapinduzi ni kitu gani.
 
Wewe huyajui balozi kar

Wewe huyajui balozi karume hana chembe ya uarabu... Bi Fatma karume baba yake ana asili ya uhindi na mama yake Bi Fatma karume ni Muafrika ambae kwa ni bumbwini.. sasa huo uarabu umetokana na wapi?
 
Kama ndivyo, kwa nini kutumia fedha nyingi za umma ajli ya kupigisha kura ambazo hazina maana? Hayo si matumizi mabaya ya raslimali za taifa?
Kupiga kura kuna maana sana labda kama huoni maana yake.
 
Mbona hata yeye , Balozi Karume ni Mwarabu au kwa kuwa yuko CCm? Shida ya Zanzibaba ni ubaguzi kwa kigezo cha kittu kinaitwa mapinduzu! Mapinduzi yenyewe yanayong'ang'aniwa ni ya kutumia marungu! Wamuulize Castro, atawambia mapinduzi ni kitu gani.

Ali Karume anazidiwa akili hata na mtoto mdogo yule mpwae Fatma.
 
Nasikia wazenji wanadai kuwa jamaa alimuua mwananmke kwa kuwa tu alimkataa na ndio maana anaigemea CCM kufa kupona !
 
Back
Top Bottom