Je, tunu zetu za Taifa zina haki na hatimiliki? Je, vinatambulika kisheria?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,652
698,310
Kwanza lazima tujihoji ama tuhoji
Tunu za Taifa ni nini?
Tunu za Taifa ni zipi?
Je, tunu zetu za Taifa zina hakimiliki?
Je, tunu zetu za Taifa zina hatimiliki?
Je, tunu zetu hizi zinatambulika kisheria?
Je, katiba yetu inasemaje kuhusu tunu zetu za Taifa? Mipaka na matumizi yake?
Je, katiba yetu inasemaje juu ya uhuru na ukomo wa matumizi ya tunu zetu.
Kiimani?
Kimila?
Kijamii?
Kisheria?
Kisiasa?
View attachment 1527919
 
bfa2481faeadc5db375c0894c839e839.jpg
 
Back
Top Bottom