Je, tunaweza kuwa kama kunguru?

😁

Turudi kwenye mada je lilikuwa kusudio la Mungu ya kwamba binadamu awe na mtu mke mmoja tu?
 
Ndio maana waoga sana kumbe wanaogopa kuwaacha wenza wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah maskini....!! Kuna kunguru hapa alikuwa na kijidonda mguuni kajipendekeza kusimama kwenye nyaya ya umeme, kilichompata kamuacha mwenza wake mpweke, rest in peace kunguru, mwenzio yupo katika majonzi makubwa mnoo, atakukumbuka daima.
 
Kunguru inaishi miaka 15 - 20, binadamu ikifika miaka 15 - 20 ndio inaanza balehe lazima binadamu itembee na watu wengi🀣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…