jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 511
Je, unaweza kua kama kunguru kwenye swala la mahusiano?
Binafsi ziwezi aisee niwe tu mkweli
Binafsi ziwezi aisee niwe tu mkweli


noma sanaHii Kali sana aisee
It means huyo mjane au mgane atavumilia genye wakati wote wa maisha yaliyobaki duniani?!noma sana


Nadhani huo ndy ulikuwa mpango wakeYou must see this. Mustn't you?
Turudi kwenye mada je lilikuwa kusudio la Mungu ya kwamba binadamu awe na mtu mke mmoja tu?
Inawezekana... Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Ngapi hukoo? Soma kwenye ramani injiniaaa.😂😂😂😂😂😂we injinia soma hiyooooo!