Je, tunamhitaji Lema Arusha 2015??

Je, tunamhitaji Lema Arusha 2015??

lema hakuna kitu alichofanya arusha zaidi ya kushusha uchumi wa arusha kwa vurugu zake na maandamano na genge lake la wahuni. wana arusha tumemchoka hatumtaki tena
 
wafanyabiashara w arusha wanajiunga kwa kasi sana chama makini ACT lema amewaharibia biashara zao .. mahoteli na makampuni ya utalii arusha wamepata hasara sana kutokana na vurugu zachadema
 
uchumi wa arusha umeporomoka kwa kasi sana
 
hana shida lema wana Arusha tunampenda sana.usije ukamtegemea mbunge ili akuletee maendeleo bali juhudi zako tu.Hata ukimweka mwingine hata kama ni CCM bado ni yaleyale tu ni bora ya Lema.
 
Warembo kama nyie hamuwezi kumbali Lema, hamuendani kabisa, nyie type yenu mrembo mwenzenu Zitto, anayehongwa kirahisi kama bamedi.
 
wafanyabiashara w arusha wanajiunga kwa kasi sana chama makini ACT lema amewaharibia biashara zao .. mahoteli na makampuni ya utalii arusha wamepata hasara sana kutokana na vurugu zachadema
Ndoto za mchana. Haiitaji uwe na akili kubwa kijua kuwa Lema bado anakubalika sana Arusha. Unapata picha gani kwa uchaguzi wa madiwani Arusha?
 
wangekuwa hawamuhitaji wana arusha kama mnavyodai nyie asingeweza kupata madiwani wengi....nadhan mnakumbuka 4 bila kwenye uchaguz wa arusha na juz 1 bila kweny uchaguz arusha na yy ndiye kinara wa mashambulizi...lazima mchutame lumumba arusha tena!
 
Lema akija na zile picha wanampatia maana watu wamemwona anavyoweza kujituma
 
Lema jembe letu magamba yana haha maana arusha wana mwaga mapesa twayala halafu tunaipa kura chadema.magamba walizani wana arusha ni mazuzu wa viji senti kama mtwara wakipewa ubwabwa wamelegea huku arusha ni nchi nyengine bahna! Mwendo ni chadema kaskazini,kanda ya ziwa,kanda ya kati
 
Lema chaguo la wasomi, kama ww akili yako bado ipo gizani pole..
 
Lema jembe letu magamba yana haha maana arusha wana mwaga mapesa twayala halafu tunaipa kura chadema.magamba walizani wana arusha ni mazuzu wa viji senti kama mtwara wakipewa ubwabwa wamelegea huku arusha ni nchi nyengine bahna! Mwendo ni chadema kaskazini,kanda ya ziwa,kanda ya kati

arusha kuna wanywa viroba wengi
 
Ndoto za mchana. Haiitaji uwe na akili kubwa kijua kuwa Lema bado anakubalika sana Arusha. Unapata picha gani kwa uchaguzi wa madiwani Arusha?
Tunamhitaji Lema kwa sasa zaidi ya tulivyomhitaji miaka iliyopita hapa Arusha. Tunahitaji mwaka 2015 kuikomboa Arusha yote. Hivi ACT ni mdudu gani? Nasikia eti kazaliwa huko Kigoma. Kwa Mazingira ya Arusha mdudu huyu hataweza kuishi na kuzaana hapa. Atakufa mara moja. Heri akajaribu mikoa ya Pwani na Zanzbar. Huko kunafanana kidogo na Kigoma!
 
Back
Top Bottom