Je, tunabana matumizi, shilingi ngapi hizi zinateketea?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,850
34,300
JE TUNABANA MATUMIZI SHILINGI NGAPI HIZI ZINATEKETEA.jpg

JE TUNABANA MATUMIZI SHILINGI NGAPI HIZI ZINATEKETEA?
 
Unachoka sana aisee.. hasa ukishatoka pata chakula safi.. ka usingizi kanakula... siyo makosa yao..
 
Kusinzia sote huws tunasinzia kwa nyakati tofauti acheni udhalilishaji. Kuwa attention muda wote mara nyingi huleta usingizi hasahasa kama umetoka kula. Nakumbuka mm nilikuwa nasinzi baada ya kutoka kunywa uji wakati nopo form six tena kilikuwa ni kipndi cha Biology. Nakumbuka mwalimu alikuwa anakasirika sana unakuta robo ya darasa wanalala!, so sishangai kwa baadhi ya wabunge kusinzia mida flani ambayo bunge linaendelea, its natural. Tusiwe taifa la kulaumu muda wote.
 
Madereva wa mabasi nao wakisinzia ni sawa? Vipi kuhusu Madaktari wakati wa upasuaji wakisizia? Au kunawanaotakiwa kusizia na kunaambao hawatakiwi kusinzia? Do they deserve to get paid for that? Or that is the meaning of HAPA KAZI TU?
 
"Akili yako nyembamba haijajua methali......" . Kuna ajali hutokea kwasababu ya kusinzia kwa dereva. Pia tofautisha kazi za kusikiliza tuuu na kazi za vitendo. Si rahisi kusinzia wakati wa kazi za vitendo (kazi za mikono n.k) japo inawezekana. Nashukuru kwa uelewa wako.
 
Back
Top Bottom