Je tumefikishwa hapa na dhambi ya Ubaguzi ya JK Nyerere?

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
804
Reaction score
2,059
Nijenge msingi kwanza! Rais Obama aliwahi kusema Africa inahitaji Strong institution tu kujikomboa. Kwa maneno mengine Taasis imara hususan za Dola.

Nije kwenye mada. Ukiwasikiliza Wahenga na simulizi zao na hata ndugu Polepole miezi ya karibuni utagundua kuwa katika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 ndani ya CCM baada tu ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa aliibuka mgombea mwenye nguvu ndani ya Chama aliyeitwa Bwana Jakaya Kikwete. Huyu alipambana na Bwana Benjamin Mkapa (Chaguo la Nyerere) kwa karibu kabisa.

Kutokana na kukosekana kwa Taasis Imara labda ilibidi Nyerere atumie ukubwa wake kumzima Kikwete. Nafikiri hapa ndipo kosa lilipofanyika. Nyerere alipaswa kuwaacha vijana wachuane na atakayeshinda ashinde wakadhibitiwe na Taasis imara huko mbele ya safari.

Kitendo Cha Nyerere kuingilia mchakato na kuchagua upande huku yeye akiwa Baba Taifa kiliacha chuki na uhasama wa kisiasa kati ya watoto wake wawili Kikwete na Mkapa (Huo ni ubinadamu kisaikolojia).

Ukiendelea na simulizi hizo za wahenga utagundua kuwa Kikwete hata kama alichukizwa aliamua kufuata mifumo ya kidemokrasia na kisiasa kuendelea mapambano yake. Ndipo likaibuka neno mtandao. Rostam Aziz alitetea vizuri dhana ya mtandao. Ni kama vile MAGA ya Sasa ya Rais Donald Trump.

Mtandao ulimwezesha Kikwete kushinda uchaguzi uliofuata baada ya Mkapa kumaliza awamu yake ya pili na Kikwete akawa Rais.

Kikwete alianza kuharibu kwa lengo la kujilinda kwa kuwaingiza wanamtandao na siasa zao kwenye Taasis za Dola. Kukaanza mambo ya unanijua Mimi nani!?
Kikwete akaweka mapandikizi hadi kwenye vyama vya upinzani hivyo siasa yetu ikaingia unafiki, Hila, gilba, na Sanaa. Ikawa kila chombo cha wapinzani wa Kikwete Cha wapinzani wake kupumulia kikawa na mamluki wanaolipwa pesa kwa mlango wa nyuma kuwa snitch wapinzani wa Kikwete.

Mambo ya nchi yakaanza kupelekwa kwa kujuana na nchi ikaanza kutoka kwenye kufanya kazi kimfumo na ki haki. Vikaanzishwa vyuo mpaka vya online. Kama unatakiwa unaambiwa katafute cheti tu ulete hata kama hukukaa darasani tutakupigania utachukua nafasi nzuri. PhD uchwara na degree uchwara zikaibuka nyingi na watu wakalamba vyeo.

Alipokuja Magufuli ambaye ni timu Mkapa/Nyerere na ambaye kisiasa na kwa kufuata mifumo kama kungekuwa na kura za wanachama au kampeni za primary Magufuli asingetoboa dhidi ya Lowassa, hili likatonesha majeraha ya zamani.

Wanamtandao wakawa optimistic na positive kuwa muda wa siasa za kujipanga umefika. Wakaanza harakati za mapema, lakini Magufuli ama kwa mawazo yake au kwa kushauriwa na Mkapa au yoyote akaanza kutumia nguvu na amri zake binafsi badala ya mifumo, Taasis na Sheria. Wanamtandao walipotaka kuutumia upinzani wa Tanzania kusukuma ajenda zao Magufuli akaushughulia upinzani. Badala ya siasa kuendeshwa kama vilabu vya mpira ikaanza kuendeshwa kama Dini au kiapo. Ikafika hatua hata kumtembelea mgonjwa wa chama kingine mtu anaogopa.

Utawala wa Magufuli ukambananga Kikwete huku Mkapa akishuhudia. Matokeo yake kibinadamu JK akaweka kisasi na kuanza harakati zake za kuwa KINYAGO NILICHOKICHONGA mwenyewe hakiwezi kunitisha. JK akawa akipata nafasi ya kuongea anarusha makombora.

Binafsi naamini tofauti za kisiasa na kirafiki kati ya Kikwete na Mkapa ziliongezeka sana kipindi cha Magufuli. Alipokufa Mkapa basi Magufuli alibaki bila mtu mwenye nguvu juu yake kama Mkapa alivyobaki bila Nyerere kwenye uongozi wake.

Kilichofuata hadi kufikia mwaka 2020 Magufuli akabakia mwenyewe ila akafunga mianya yoyote ya kisiasa ya kumng'oa au kumpinga. Wapinzani wake ndani ya CCM akawafukuza uanachama na vijana wake wakamkweza mno huku nae akimshambulia Kikwete ambaye alikuwa ni senior kwake na mwenye kujua siasa kuliko yeye maana alianza mapambano tangu na Nyerere wakati Magufuli akiwa mwalimu huko.

Katika harakati za Kikwete na timu yake kujipanga ndipo likaibuka neno WATOTO WA MJINI. Hawa wanajua kila mtu ni wazoefu wa mtaa na Dunia. Wanajua uchawi, uongo, gilba, Hila, wema, subira, fitina n.k wapo fit idara zote. Unavyotaka wewe na wao wanataka hivyo hivyo.

Alipofariki Magufuli wakati watu wanafikiria namna ya kupindua meza Makamu akatangaza msiba juu kwa juu.

Baada Samia kushika madaraka lile kundi la Nyerere na Mkapa na baadae Magufuli likaanza kulilia uhuru wa siasa ambao liliwanyima Wanamtandao. Wanamtandao nao wakaamua kuacha mifumo ya siasa na Sheria na kuamua kuwaendesha waliojiita Wazalendo kibabe kibabe kama na wao walivyokuwa wanawafanyia.

Walitekwa nao wakawateka, waliuliwa nao wakaamua kuwaua. Walizuiwa kuandamana nao wakawazuia, walicheza na Taasis na Sheria ili kukandamiza nao wakafanyiwa hivyo hivyo.

Mwisho wa picha Wazalendo pumzi ikawaishia wakaamua kutengeneza chaos. Siasa lazimishi matokeo yake ndio hayaaa wamekufa na waliokuwamo na wasiokuwamo.

Nafikiri haya yametokea kama namna ya Mungu kuwakumbusha wagombanao na washindanao wapatane maana wamekuja kufa wajukuu kisa ugomvi wa akina babu.

Kikwete umeshinda na wewe ndio Babu uliyebakia. Waachie wajukuu nchi yenye amani na upendo usifuate nyayo za JK mwenzako Nyerere kuachia watoto ugomvi.

Turudishe Taasis imara. Kutunishiana misuli hadi Balozi tumempoteza pamoja na wanasiasa wengi chipukizi wa upinzani
 
Aliyetufikisha hapa ni huyu mama yenu mwenye D moja ya Kiswahili form IV. Nyerere hakumtuma aanze kuteka na kuua watu hovyo. Pengine unatafuta visingizio vya kimfumo lakini hatujawahi kuwa na rais mwenye roho ya kishetani na asiye na maono kama huyu. Rais anayebariki ufisadi kwa kuwaambia watumishi wa serikali wale kwa urefu wa kamba zao. Rais asiye na uchungu na raslimali za taifa lake. Rais mbinafsi anayejaza ndugu zake serikalini utafikiri ni serikali ya ukoo.

Mtalaumu watu wengine bure lakini Tanzania kwa sasa itaangamia kwa sababu ya huyu mama; na viongozi wa vyombo vya usalama waliotanguliza matumbo yao badala ya maslahi ya taifa na wananchi walioapa kuwalinda!

Na anaweza kutuepusha na madhara zaidi kwa kujiuzulu yeye na serikali yake ili watu wachague serikali halali itakayowatumikia. Tuwe na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Bado ana muda akitaka!

Screenshot_20240723_161411_Photo Editor.jpg
 
Una hoja za msingi, ww ni watu wanaojua tumefikaje hapa, nina uhakika watu kama ww ukitumika huko kwa ushauri na ukabaki kuwa mkweli, utatoa ushauri sahihi wa kuwa tunatokaje hapa.
 
..ulianza vizuri lakini umemaliza mada yako kwa UONGO.

..hakuna mwana-CCM aliyepotezwa kabla ya Humphrey Polepole.

..siku zote waliotekwa, kuteswa, na kuuwawa, wamekuwa ni wapinzani na wanaharakati.
 
Aliyetufikisha hapa ni huyu mama yenu mwenye D moja ya Kiswahili form IV. Nyerere hakumtuma aanze kuteka na kuua watu hovyo. Pengine unatafuta visingizio vya kimfumo lakini hatujawahi kuwa na rais mwenye roho ya kishetani na asiye na maono kama huyu. Rais anayebariki ufisadi kwa kuwaambia watumishi wa serikali wale kwa urefu wa kamba zao. Rais asiye na uchungu na raslimali za taifa lake. Rais mbinafsi anayejaza ndugu zake serikalini utafikiri ni serikali ya ukoo.

Mtalaumu watu wengine bure lakini Tanzania kwa sasa itaangamia kwa sababu ya huyu mama; na viongozi wa vyombo vya usalama waliotanguliza matumbo yao badala ya maslahi ya taifa na wananchi walioapa kuwalinda!

View attachment 3509418

Angechukua Salim Ahmed Salim nguli wa diplomasia, mpigania haki, amani, ukweli na usawa wakati ule, tusingepata haya madhara, uovu, uhuni, uuaji na ufisadi ulioletwa na Kikwete na unaoendelea kulitesa taifa.
 
Nakuunga mkono.
Hao viongozi wa zamani hata kama walikuwa na bifu zao za chini kwa chini sisi wananchi wa kawaida hatukuweza kuziona hizo bifu kutokana na uweledi,uzoefu na busara kubwa walizokuwa nazo,kwa kifupi hizo bifu zilikuwa zinawaathiri wenyewe wahusika sisi wananchi zilikuwa hazituhusu.
Lakini kwa serikali ya sasa madhara yanaonekana waziwazi na dunia nzima kitu ambacho hakijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru.
 
Nijenge msingi kwanza! Rais Obama aliwahi kusema Africa inahitaji Strong institution tu kujikomboa. Kwa maneno mengine Taasis imara hususan za Dola.
Takataka kama hizi watu huwa mnapata wapi muda wa kuziandika na kuzileta hapa?

Andiko reeefu ambalo hata halieleweki unaeleza jambo lipi hasa.

Hicho kichwa cha mada kinahusiana vipi na maneno meengi uliyojaza kwenye andiko?

Mwelekeo ni ule ule wa kuweka maslahi ya imani juu ya utaifa wetu!

Kikwete atakuwa ameshinda kitu gani badala ya kuingia kwenye kumbukumbu ya hovyo kabisa kwenye historia ya nchi hii?

Hovyo Kabisa.
 
..ulianza vizuri lakini umemaliza mada yako kwa UONGO.

..hakuna mwana-CCM aliyepotezwa kabla ya Humphrey Polepole.

..siku zote waliotekwa, kuteswa, na kuuwawa, wamekuwa ni wapinzani na wanaharakati.
sijaona popote alipoanza vizuri.

Ukianza tu na kichwa cha mada; ambayo hata humo ndani hakuifafanua ieleweke ni tatizo tupu.

Hajaeleza "...dhambi ya ubaguzi ya JK Nyrerere" ni ipi, na alimfanyia nani dhamb hiyo. Hili linaonyesha ni juhudi zilezile za wanafunzi wa chuo cha Kariakoo kwa mzee Mohamed.

Nia ya mada yake inajidhihirisha wazi katika hicho kichwa cha mada aliyo iwasilisha
 
Aliyetufikisha hapa ni huyu mama yenu mwenye D moja ya Kiswahili form IV. Nyerere hakumtuma aanze kuteka na kuua watu hovyo. Pengine unatafuta visingizio vya kimfumo lakini hatujawahi kuwa na rais mwenye roho ya kishetani na asiye na maono kama huyu. Rais anayebariki ufisadi kwa kuwaambia watumishi wa serikali wale kwa urefu wa kamba zao. Rais asiye na uchungu na raslimali za taifa lake. Rais mbinafsi anayejaza ndugu zake serikalini utafikiri ni serikali ya ukoo.

Mtalaumu watu wengine bure lakini Tanzania kwa sasa itaangamia kwa sababu ya huyu mama; na viongozi wa vyombo vya usalama waliotanguliza matumbo yao badala ya maslahi ya taifa na wananchi walioapa kuwalinda!
Samahani.

Umechafua maneno yako ya maana sana haya hapa kwa kuyaambatanisha na hiyo picha ya shetani. Imenifanya nishindwe hata kuweka alama yoyote kwenye maoni yako.
 
Angechukua Salim Ahmed Salim nguli wa diplomasia, mpigania haki, amani, ukweli na usawa wakati ule, tusingepata haya madhara, uovu, uhuni, uuaji na ufisadi ulioletwa na Kikwete na unaoendelea kulitesa taifa.
Mere speculations. There is no sure way of knowing for sure if Salim would have been better than the devil himself. Never trust a politician. Just don't!
 
sijaona popote alipoanza vizuri.

Ukianza tu na kichwa cha mada; ambayo hata humo ndani hakuifafanua ieleweke ni tatizo tupu.

Hajaeleza "...dhambi ya ubaguzi ya JK Nyrerere" ni ipi, na alimfanyia nani dhamb hiyo. Hili linaonyesha ni juhudi zilezile za wanafunzi wa chuo cha Kariakoo kwa mzee Mohamed.

Nia ya mada yake inajidhihirisha wazi katika hicho kichwa cha mada aliyo iwasilisha
Kwa mujibu wa mtoa mada ni kwamba Nyerere alimzima Kikwete kibabe kwa kumpitisha Mkapa. Na kwamba angeacha uwanja Sawa wa mchuano ili wa kushinda kwa HAKI ashinde. Huu ndio ubaguzi ambao mtoa mada ameuzungumzia. Ruksa kunirekebisha kama nimeelewa tofauti
 
Mere speculations. There is no sure way of knowing for sure if Salim would have been better than the devil himself. Never trust a politician. Just don't!

Alituonyesha misimamo yake, uadilifu, uaminifu, uzalendo wake kwenye vyeo vyake vyote kama uwaziri mkuu, Ukatibu mkuu wa OAU, alishindwa kidogo kuwa katibu mkuu wa UN kwa sababu ya kura ya Marekani.

Sidhani kama angeanzisha hili genge ya wahalifu, wahuni, mafisadi wanajiita wanamtandao.

Of course hakuna uhakika wa chochote chini ya jua, duniani kwa 100%.
 
Aliyetufikisha hapa ni huyu mama yenu mwenye D moja ya Kiswahili form IV. Nyerere hakumtuma aanze kuteka na kuua watu hovyo. Pengine unatafuta visingizio vya kimfumo lakini hatujawahi kuwa na rais mwenye roho ya kishetani na asiye na maono kama huyu. Rais anayebariki ufisadi kwa kuwaambia watumishi wa serikali wale kwa urefu wa kamba zao. Rais asiye na uchungu na raslimali za taifa lake. Rais mbinafsi anayejaza ndugu zake serikalini utafikiri ni serikali ya ukoo.

Mtalaumu watu wengine bure lakini Tanzania kwa sasa itaangamia kwa sababu ya huyu mama; na viongozi wa vyombo vya usalama waliotanguliza matumbo yao badala ya maslahi ya taifa na wananchi walioapa kuwalinda!

Na anaweza kutuepusha na madhara zaidi kwa kujiuzulu yeye na serikali yake ili watu wachague serikali halali itakayowatumikia. Tuwe na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Bado ana muda akitaka!

View attachment 3509418
Kilichotufikisha hapa ni nongwa ya wakatoliki kwa Bandari ya Dar. Mengine yote chenga tu. Huyo mama hana Shida yoyote. Amefanya kila kitu kwa bidii kubwa sana katika kuijenga nchi yenu. Ila eleweni, mnaenda kuitengeneza Congo nyingine kwa tamaa zenu.
 
Kuendelea kumlalamikia Nyerere mtu aliyetoka madarakani over 30yrs ago ni upumbavu wa hali ya juu. Nyie hamna akili ya kujiendesha miaka yote hiyo hadi kumlaumu Nyerere tu? Hii ni sawa na mtu kumlaumu babu yake for his shortcomings. Ni ufinyu wa akili.
 
Nijenge msingi kwanza! Rais Obama aliwahi kusema Africa inahitaji Strong institution tu kujikomboa. Kwa maneno mengine Taasis imara hususan za Dola.

Nije kwenye mada. Ukiwasikiliza Wahenga na simulizi zao na hata ndugu Polepole miezi ya karibuni utagundua kuwa katika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 ndani ya CCM baada tu ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa aliibuka mgombea mwenye nguvu ndani ya Chama aliyeitwa Bwana Jakaya Kikwete. Huyu alipambana na Bwana Benjamin Mkapa (Chaguo la Nyerere) kwa karibu kabisa.

Kutokana na kukosekana kwa Taasis Imara labda ilibidi Nyerere atumie ukubwa wake kumzima Kikwete. Nafikiri hapa ndipo kosa lilipofanyika. Nyerere alipaswa kuwaacha vijana wachuane na atakayeshinda ashinde wakadhibitiwe na Taasis imara huko mbele ya safari.

Kitendo Cha Nyerere kuingilia mchakato na kuchagua upande huku yeye akiwa Baba Taifa kiliacha chuki na uhasama wa kisiasa kati ya watoto wake wawili Kikwete na Mkapa (Huo ni ubinadamu kisaikolojia).

Ukiendelea na simulizi hizo za wahenga utagundua kuwa Kikwete hata kama alichukizwa aliamua kufuata mifumo ya kidemokrasia na kisiasa kuendelea mapambano yake. Ndipo likaibuka neno mtandao. Rostam Aziz alitetea vizuri dhana ya mtandao. Ni kama vile MAGA ya Sasa ya Rais Donald Trump.

Mtandao ulimwezesha Kikwete kushinda uchaguzi uliofuata baada ya Mkapa kumaliza awamu yake ya pili na Kikwete akawa Rais.

Kikwete alianza kuharibu kwa lengo la kujilinda kwa kuwaingiza wanamtandao na siasa zao kwenye Taasis za Dola. Kukaanza mambo ya unanijua Mimi nani!?
Kikwete akaweka mapandikizi hadi kwenye vyama vya upinzani hivyo siasa yetu ikaingia unafiki, Hila, gilba, na Sanaa. Ikawa kila chombo cha wapinzani wa Kikwete Cha wapinzani wake kupumulia kikawa na mamluki wanaolipwa pesa kwa mlango wa nyuma kuwa snitch wapinzani wa Kikwete.

Mambo ya nchi yakaanza kupelekwa kwa kujuana na nchi ikaanza kutoka kwenye kufanya kazi kimfumo na ki haki. Vikaanzishwa vyuo mpaka vya online. Kama unatakiwa unaambiwa katafute cheti tu ulete hata kama hukukaa darasani tutakupigania utachukua nafasi nzuri. PhD uchwara na degree uchwara zikaibuka nyingi na watu wakalamba vyeo.

Alipokuja Magufuli ambaye ni timu Mkapa/Nyerere na ambaye kisiasa na kwa kufuata mifumo kama kungekuwa na kura za wanachama au kampeni za primary Magufuli asingetoboa dhidi ya Lowassa, hili likatonesha majeraha ya zamani.

Wanamtandao wakawa optimistic na positive kuwa muda wa siasa za kujipanga umefika. Wakaanza harakati za mapema, lakini Magufuli ama kwa mawazo yake au kwa kushauriwa na Mkapa au yoyote akaanza kutumia nguvu na amri zake binafsi badala ya mifumo, Taasis na Sheria. Wanamtandao walipotaka kuutumia upinzani wa Tanzania kusukuma ajenda zao Magufuli akaushughulia upinzani. Badala ya siasa kuendeshwa kama vilabu vya mpira ikaanza kuendeshwa kama Dini au kiapo. Ikafika hatua hata kumtembelea mgonjwa wa chama kingine mtu anaogopa.

Utawala wa Magufuli ukambananga Kikwete huku Mkapa akishuhudia. Matokeo yake kibinadamu JK akaweka kisasi na kuanza harakati zake za kuwa KINYAGO NILICHOKICHONGA mwenyewe hakiwezi kunitisha. JK akawa akipata nafasi ya kuongea anarusha makombora.

Binafsi naamini tofauti za kisiasa na kirafiki kati ya Kikwete na Mkapa ziliongezeka sana kipindi cha Magufuli. Alipokufa Mkapa basi Magufuli alibaki bila mtu mwenye nguvu juu yake kama Mkapa alivyobaki bila Nyerere kwenye uongozi wake.

Kilichofuata hadi kufikia mwaka 2020 Magufuli akabakia mwenyewe ila akafunga mianya yoyote ya kisiasa ya kumng'oa au kumpinga. Wapinzani wake ndani ya CCM akawafukuza uanachama na vijana wake wakamkweza mno huku nae akimshambulia Kikwete ambaye alikuwa ni senior kwake na mwenye kujua siasa kuliko yeye maana alianza mapambano tangu na Nyerere wakati Magufuli akiwa mwalimu huko.

Katika harakati za Kikwete na timu yake kujipanga ndipo likaibuka neno WATOTO WA MJINI. Hawa wanajua kila mtu ni wazoefu wa mtaa na Dunia. Wanajua uchawi, uongo, gilba, Hila, wema, subira, fitina n.k wapo fit idara zote. Unavyotaka wewe na wao wanataka hivyo hivyo.

Alipofariki Magufuli wakati watu wanafikiria namna ya kupindua meza Makamu akatangaza msiba juu kwa juu.

Baada Samia kushika madaraka lile kundi la Nyerere na Mkapa na baadae Magufuli likaanza kulilia uhuru wa siasa ambao liliwanyima Wanamtandao. Wanamtandao nao wakaamua kuacha mifumo ya siasa na Sheria na kuamua kuwaendesha waliojiita Wazalendo kibabe kibabe kama na wao walivyokuwa wanawafanyia.

Walitekwa nao wakawateka, waliuliwa nao wakaamua kuwaua. Walizuiwa kuandamana nao wakawazuia, walicheza na Taasis na Sheria ili kukandamiza nao wakafanyiwa hivyo hivyo.

Mwisho wa picha Wazalendo pumzi ikawaishia wakaamua kutengeneza chaos. Siasa lazimishi matokeo yake ndio hayaaa wamekufa na waliokuwamo na wasiokuwamo.

Nafikiri haya yametokea kama namna ya Mungu kuwakumbusha wagombanao na washindanao wapatane maana wamekuja kufa wajukuu kisa ugomvi wa akina babu.

Kikwete umeshinda na wewe ndio Babu uliyebakia. Waachie wajukuu nchi yenye amani na upendo usifuate nyayo za JK mwenzako Nyerere kuachia watoto ugomvi.

Turudishe Taasis imara. Kutunishiana misuli hadi Balozi tumempoteza pamoja na wanasiasa wengi chipukizi wa upinzani
Nijenge msingi kwanza! Rais Obama aliwahi kusema Africa inahitaji Strong institution tu kujikomboa. Kwa maneno mengine Taasis imara hususan za Dola.

Nije kwenye mada. Ukiwasikiliza Wahenga na simulizi zao na hata ndugu Polepole miezi ya karibuni utagundua kuwa katika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 ndani ya CCM baada tu ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa aliibuka mgombea mwenye nguvu ndani ya Chama aliyeitwa Bwana Jakaya Kikwete. Huyu alipambana na Bwana Benjamin Mkapa (Chaguo la Nyerere) kwa karibu kabisa.

Kutokana na kukosekana kwa Taasis Imara labda ilibidi Nyerere atumie ukubwa wake kumzima Kikwete. Nafikiri hapa ndipo kosa lilipofanyika. Nyerere alipaswa kuwaacha vijana wachuane na atakayeshinda ashinde wakadhibitiwe na Taasis imara huko mbele ya safari.

Kitendo Cha Nyerere kuingilia mchakato na kuchagua upande huku yeye akiwa Baba Taifa kiliacha chuki na uhasama wa kisiasa kati ya watoto wake wawili Kikwete na Mkapa (Huo ni ubinadamu kisaikolojia).

Ukiendelea na simulizi hizo za wahenga utagundua kuwa Kikwete hata kama alichukizwa aliamua kufuata mifumo ya kidemokrasia na kisiasa kuendelea mapambano yake. Ndipo likaibuka neno mtandao. Rostam Aziz alitetea vizuri dhana ya mtandao. Ni kama vile MAGA ya Sasa ya Rais Donald Trump.

Mtandao ulimwezesha Kikwete kushinda uchaguzi uliofuata baada ya Mkapa kumaliza awamu yake ya pili na Kikwete akawa Rais.

Kikwete alianza kuharibu kwa lengo la kujilinda kwa kuwaingiza wanamtandao na siasa zao kwenye Taasis za Dola. Kukaanza mambo ya unanijua Mimi nani!?
Kikwete akaweka mapandikizi hadi kwenye vyama vya upinzani hivyo siasa yetu ikaingia unafiki, Hila, gilba, na Sanaa. Ikawa kila chombo cha wapinzani wa Kikwete Cha wapinzani wake kupumulia kikawa na mamluki wanaolipwa pesa kwa mlango wa nyuma kuwa snitch wapinzani wa Kikwete.

Mambo ya nchi yakaanza kupelekwa kwa kujuana na nchi ikaanza kutoka kwenye kufanya kazi kimfumo na ki haki. Vikaanzishwa vyuo mpaka vya online. Kama unatakiwa unaambiwa katafute cheti tu ulete hata kama hukukaa darasani tutakupigania utachukua nafasi nzuri. PhD uchwara na degree uchwara zikaibuka nyingi na watu wakalamba vyeo.

Alipokuja Magufuli ambaye ni timu Mkapa/Nyerere na ambaye kisiasa na kwa kufuata mifumo kama kungekuwa na kura za wanachama au kampeni za primary Magufuli asingetoboa dhidi ya Lowassa, hili likatonesha majeraha ya zamani.

Wanamtandao wakawa optimistic na positive kuwa muda wa siasa za kujipanga umefika. Wakaanza harakati za mapema, lakini Magufuli ama kwa mawazo yake au kwa kushauriwa na Mkapa au yoyote akaanza kutumia nguvu na amri zake binafsi badala ya mifumo, Taasis na Sheria. Wanamtandao walipotaka kuutumia upinzani wa Tanzania kusukuma ajenda zao Magufuli akaushughulia upinzani. Badala ya siasa kuendeshwa kama vilabu vya mpira ikaanza kuendeshwa kama Dini au kiapo. Ikafika hatua hata kumtembelea mgonjwa wa chama kingine mtu anaogopa.

Utawala wa Magufuli ukambananga Kikwete huku Mkapa akishuhudia. Matokeo yake kibinadamu JK akaweka kisasi na kuanza harakati zake za kuwa KINYAGO NILICHOKICHONGA mwenyewe hakiwezi kunitisha. JK akawa akipata nafasi ya kuongea anarusha makombora.

Binafsi naamini tofauti za kisiasa na kirafiki kati ya Kikwete na Mkapa ziliongezeka sana kipindi cha Magufuli. Alipokufa Mkapa basi Magufuli alibaki bila mtu mwenye nguvu juu yake kama Mkapa alivyobaki bila Nyerere kwenye uongozi wake.

Kilichofuata hadi kufikia mwaka 2020 Magufuli akabakia mwenyewe ila akafunga mianya yoyote ya kisiasa ya kumng'oa au kumpinga. Wapinzani wake ndani ya CCM akawafukuza uanachama na vijana wake wakamkweza mno huku nae akimshambulia Kikwete ambaye alikuwa ni senior kwake na mwenye kujua siasa kuliko yeye maana alianza mapambano tangu na Nyerere wakati Magufuli akiwa mwalimu huko.

Katika harakati za Kikwete na timu yake kujipanga ndipo likaibuka neno WATOTO WA MJINI. Hawa wanajua kila mtu ni wazoefu wa mtaa na Dunia. Wanajua uchawi, uongo, gilba, Hila, wema, subira, fitina n.k wapo fit idara zote. Unavyotaka wewe na wao wanataka hivyo hivyo.

Alipofariki Magufuli wakati watu wanafikiria namna ya kupindua meza Makamu akatangaza msiba juu kwa juu.

Baada Samia kushika madaraka lile kundi la Nyerere na Mkapa na baadae Magufuli likaanza kulilia uhuru wa siasa ambao liliwanyima Wanamtandao. Wanamtandao nao wakaamua kuacha mifumo ya siasa na Sheria na kuamua kuwaendesha waliojiita Wazalendo kibabe kibabe kama na wao walivyokuwa wanawafanyia.

Walitekwa nao wakawateka, waliuliwa nao wakaamua kuwaua. Walizuiwa kuandamana nao wakawazuia, walicheza na Taasis na Sheria ili kukandamiza nao wakafanyiwa hivyo hivyo.

Mwisho wa picha Wazalendo pumzi ikawaishia wakaamua kutengeneza chaos. Siasa lazimishi matokeo yake ndio hayaaa wamekufa na waliokuwamo na wasiokuwamo.

Nafikiri haya yametokea kama namna ya Mungu kuwakumbusha wagombanao na washindanao wapatane maana wamekuja kufa wajukuu kisa ugomvi wa akina babu.

Kikwete umeshinda na wewe ndio Babu uliyebakia. Waachie wajukuu nchi yenye amani na upendo usifuate nyayo za JK mwenzako Nyerere kuachia watoto ugomvi.

Turudishe Taasis imara. Kutunishiana misuli hadi Balozi tumempoteza pamoja na wanasiasa wengi chipukizi wa upinzani
Hadithi yako nzuri, sema sikuingine uanze na neno "paukwaa, sie tuitikie pakawa"

Miaka 60 ya uhuru bado unalalamika kuhusu nyerere?? Tupo hapa na sababu ni sisi wenyewe kuwepo hapa, tupo hapa sababu ya mashujaa kama wew kutumia key board na maneno makalii bila kuwa na maamuzi.
 
Back
Top Bottom