Je, Tuliwatuma Bungeni Kushukuru Familia, Jamaa na Marafiki au tuliwatuma kuwakilisha maoni ya wapiga kura?

Mkuu una roho ya kenge, yani roho ngumu sana, ivi unatarajia lolote out of hili bunge?? Unaspend muda wako kuliangalia??
Aya endelea ila ujue unapoteza mda wako tu
 
Mwingine huyu hapa
👇👇👇

Wanabodi, Mimi sio mtaalamu wa lugha ya mawasiliano"Communication skills".Ingawa natambua kwa kila neno utakaloongea au kuropoka (Transfering message) lazima usubiri mrejesho mzuri au mbaya( Feedback)

Mbunge umepewa dakika kumi za kujenga hoja na kutoa suluhisho la matatizo Bungeni, Unatumia dakika tano kumsifia Mkuu wa nchi kuwa ameshinda kwa kishindo wakati yeye mwenyewe Mkuu wa nchi alisema hataki kusifiwa kwani kama sifa alishasifiwa sana anahitaji kazi ionekane na dakika tano zilizobaki unatumia kuwashukuru watoto wako, Baba yako, Marafiki mliocheza nao rede, kombolela na wote ulioimba nao nzu nzu we Mama nyuki lia eeh, luka mbali kutafuta ua nzuri la asali na dakika kumi zinakuwa zimekwisha, Hii sio sahihi kabisa

Nakuomba ndugu Humprey Polepole natambua wewe unafahamu jambo hili na miezi michache iliyopita nilikuona pale udsm kwenye taasisi ya "Institute of Development studies" au IDS ukimalizia PhD yako .Naomba uwape semina hawa wabunge wetu kwa kutumia uwezo wako toka hapo IDS ambapo marehemu Prof. Mpangala alikuwa akishusha nondo miaka hiyo

Kwa dakika kumi yampasa Mbunge atumie dakika tano kuchambua tatizo na kulielezea nini chanzo na madhara yake kiuchumi au kijamii hapa akihusisha na mazingira ya jimbo lake au nchi kwa ujumla.Yampasa mbunge kushawishi wabunge wenzake juu ya ukubwa wa tatizo na athari kiuchumi au kijamii

Dakika tano za mwisho Mbunge yampasa atoe suluhisho jinsi ya kutatua tatizo hilo kwa mifano halisi au kwa nadharia. Nguvu yake ya ushawishi na suluhisho ndio hupelekea hoja yake kukubalika mbele ya Bunge na wananchi

Ni muhimu kabla ya kuingia Bungeni wabunge wakafanya utafiti hata wa kupokea takwimu na Data toka kwenye taasisi au Majimboni kwao. Kutumia dakika kumi kusifia na kushukuru bila kujadili mustakabali wa nchi yetu sio sahihi, Leo hii dunia inasonga mbele kwa teknolojia ni muda wa kujadili mambo yafuatayo

Mosi, Lini tutapeleka chombo chetu katika anga la juu. Tutatumia watu gani na kwa muda gani?

Pili, lini elimu yetu tutaifungamanisha na teknolojia ya kisasa ili kuzalisha watendaji na sio wasimamizi

Yote Dkt Charles Kimei alijitahidi sana kuelezea kuhusu ishu ya elimu yetu kuwa lazima iwe elimu ya kuwawezesha vijana kufanya kazi kwa teknolojia ya kisasa na Bodi ya mikopo iwekeze kwenye mfumo huo wa elimu

Mwisho, Wapiga kura na wasiopiga kura hatukuwatuma Bungeni kusifia na kushukuru kwa dakika zote unazopewa, Tuliwatuma kujenga hoja na kutoa suluhisho la matatizo
Umenikumbusha uzi humu ndani nilikuwa nimeanza kuusoma: "Social Economic Empowerment Program,." Madrassa Yabuni Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshanana kiuchumi. Haujawahi kutokea, duniani.
 
Kwani walichaguliwa! Uchafuzi nao ni uchaguzi? Wanatumia muda wao bungeni kuwashukuru waliokamilisha uchafuzi. Bahati mbaya, kinara ameshatangulia kujibu tuhuma mbele za haki.
 
Wanajigonga na kujipendekeza kama Salva Rweyependekeza wakati wa Kikwete
 
Mzee Guci naona una chuki sana na mkuu wa nchi hupendi apendwe. Bila shaka ulipiga kura yako majuzi, ukampa chaguo yako tundulissu. Yeye (tundu) aliapa hazarani si tu kutompongeza mkuu wa nchi, alisema zaidi, ya kuwa ni haki yake kikatiba kumtukana na anazidi kumtukana hadi leo ingawa yuko kaburini. Alizunguka nchi nzima akipeleka ujumbe huo, ilani hiyo. Wewe nawe haiyumkiniki ulimpa kura yako, ingine ukampa Halima.

Fast forward, mkajikuta kumbe kura zenu (wewe na makamanda wenziyo) hazikutosha, mkabwagwa chini puuu! Sasa unalalama kwetu kuomba upate huruma? Hatutokupa huruma, ulichagua mwenyewe. Nakushauri jiulizeni, mbadilishe ilani yenu 2025.

Please don't waste our time with trivia.
 
Back
Top Bottom