Eti eeeehh! aache unafiki sasa...anonymous over anonymous ndo nini sasa.....si angeingia na hiyo a.k.a yake mkuu?
Sasa kaka na wewe tena....mbona unafail kutalk openly? a.k.a .....? nani?
Moja ya bylaws za JF ni kutohusisha majina ...naogopa rungu la kuwa banned!
Ahahahahahahahaaaa....well...kwa bahati mbaya au nzuri mambo kama haya huwezi kuyazuia. Wangapi wamefanyiwa hivyo?
Heheheheheeee sijui mwenyewe akiiona hiyo picha atasemaje?
Invisible..Naomba ufunge hii thread...Please...!
Mmefika huku..very bad!
Naona mnaimba mwana yo yo,Mlunji mwana..
Invisible..Naomba ufunge hii thread...Please...!
shem umetukana nakuazishia thread.....
Gembe bwana wakati mwingine waniacha hoi sana! unaona work done sasa, umeishaitangaza Zeutamu vya kutosha eeehh!
sasa mkuu nikikuambia unionyeshe wapi nimeitangaza web hio ni wapi utanionyesha?Kuitangaza anitangaza Yo YO!
Kuitangaza anitangaza Yo YO!
wakti mwingine huwa napita hapa kucheka tu..vionjo vya yoyo na vijimaneno vya watu wachache kama masanilo na Nyani Ngabu(Nyani mkubwa wa kongo) huwa nasikia Raha!
what the hell is utamu..Picha si imeshaondolewa..that is what i wnated!
Kuitangaza anitangaza Yo YO!
wakti mwingine huwa napita hapa kucheka tu..vionjo vya yoyo na vijimaneno vya watu wachache kama masanilo na Nyani Ngabu(Nyani mkubwa wa kongo) huwa nasikia Raha!
Kuna haja gani ya hii kuwepo tena?thread Closed..Tujadili mabo mengine!leo waziri mkuu kajibu nini huko Bungeni?maswali yalikuwa yapi?
shem si unajua tunaelekea 2010 basi chuki huwa nyiiingi juu yangu......Huyu Yo Yo ni balaa tupu ingawa ni shem wangu!
shem si unajua tunaelekea 2010 basi chui huwa nyiiingi mwa wapinzani wangu......
masanilo,Nimekupata Mkuu..bado unaendea na mipango yako ya kuchukua jimbo la kwenu huko au?
Kuna kazi kubwa mazee naogopa kuaibika naona Kuna muhindi anakuja juu na Masha naye anataka litetea lile jimbo, kwa kuwa mimi ni mpinzani sina namna ngoja nijaribu udiwani!
Muhindi au Mtanzania?Kwani upinzani hauwezi kushinda?ukitaka kusaidiwa mbinu za ushindi nishtue nitakupa..
Udiwani ni sawa kwa kuwa unakaribia karibu na wananchi,Ubunge utaishia kujadili EPA na mamboe ya kesi za kina Manji,kuwakaribisha Yanga Bungeni,Maximo na Ma-Miss watakofanikiwa kuiletea sifa nchi
muulize huy huyo auliesikia kwake......usisingizie picha nenda kale ulipanga kutingishia free leo....2010 kuna nini mkuu..mnaelekea huko na nani.Wee si ndiyo mzee wa ma-utamu wa JF..kila shemu ze comedi tu..it is good kuwa na watu kama wewe..Keep it up1
Hivi Picha za mkulu bado zipo?si nimesikia wamezitoa?YO YO nihakikishie hili kama bado zipo...
Nani ana namba ya salva?si ndiyo kazi yake kufuatilia mambo haya au,unaweza kuta wabunge huko dodoma wamekimbilia net kuchek picha hizi..Na kama ndiyo tunaelekea 2010 basi kazi ipo!nakumbka kipindi kile mambo ya salmin...yetu macho ila hii ya picha za mkuu imenichefua na mpaka sasa sijala
masanilio,Nimekupata Mkuu..bado unaendea na mipango yako ya kuchukua jimbo la kwenu huko au?
tehe tehe shem unajua kiswahili kimekua sana siku hizi......unajua maana ya hilo neno siku hizi?Mazee itabidi uniPM hizo mbinu...Mtanzania wa kihindi maana najua ana passport mbili. Upinzani bado kuna kazi sana maana nitakuwa napingana na polisi, magereza, UwT, na nguvu za giza. Maana sera yangu kubwa ni kushirikisha wananchi katika kugawana umasikini, sintoweza kupata mil 7 kwa mwezi na kutembelea VX wakati walionipigia kura wanasurvive kwa mlo mmoja. Sintonunua wapiga kura kwa pilau na Tshirt wala kanga. Sintohamishia makazi yangu Dar, nitapenda kushiriki nao shughuli za kuzalisha mali pamoja kama uvuvi, kufyatua tofari pamoja na kuwa nao karibu....sitegemei kutoa hata shillingi moja kununua kura. hizi ni baadhi ya sera zangu kwa kweli nikiwa mbunge nitakuwa wa aina yake Tanzania na Africa