Afrika kama tungekuwa na akili hakika corona ilikuwa pointi nzuri kwetu na ni sisi tunaopenda kuwa Dunia ya 3

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habari Wadau

Katika katika mambo ambayo yanafanya nione kabisa kua Waafrica haito Kuja kutokea mtu Mweus akajielewa na Kusimamia misimamo yake moja kubwa ni jambo IL la corona

Wote tunakumbuka corona ilipo Anza Dunia nzima iliish kwa wasiwas mkubwa Sana Na uku tukisubir muongozo kutoka kwa wazungu ni namna Gan ya kufanya

Baada ya muda kwenda na waafrica maisha yao kua magum sababu ya namna ya kuish na corona akatoke mtu mmoja mwenye akil ya Hali ya juu na Kuja na muongozo mzur wa kupambana na corona Mh Hayat John Pombe Magufuli. Alianza kwa kusema kumuweka mtu ndan kwanza Kuna sababisha Kinga mwil kupungua pia na mtu kushindwa kufanya Kaz zake za kila siku

Baada ya kusema hayo akaruhusu watu wawe huru kufanya kazi zao na kusema haya yafuatayo

1)Dawa za famigation haziuw viruses wa corona. Alisema haya bado kila taifa linapambana na halielew lifanye Nini na kwa ujinga wao wa kuto kuelewa wafanye Nini wa kaanza kumbeza Rais Magufuli Lakin baada ya miezi 6 Dunia nzima ikakir pamoja na shirika la Afya Dunian likakubali kile alicho kusema Magufuli

2) Vipimo vya corona vinatoa majibu ya uongo huenda haviko Sawa. Alipo Sema ivyo wakaibuka Tena watu wa kupinga Tena kwa vijembe vingi kua Tanzania hatuna akil wa kasahau kua mwanzo tuliwaambia ya famigation wakapinga ikaja kua kweli. Tukawaacha ila haikupita miez 3 ripot za ubovu wa vipimo zikaanza kutoka na wao kuona aibu kwa kuficha vichwa vyao ndan kama kobe

3)Rais Magufuli akasema tusitumie Barakoa za kuletewa Tutengeneze za kwetu hata za kanga ni salama Zaid. Pia wale ndugu zetu weus wakaja spidi kucheka na Kuanza kuzichambua barakoa ki sayansi na kumuona Magufuli bado anafanya Drama ila kama kawaida ya muda Hua haudanganyi . Baada tu ya miez Sita kupita Dunia nzima ilishuudiwa ikijikinga corona kwa mask za vitambaa za kushona

4)Rais Magufuli alisema kua inabid Corona tuizoee na tuish nayo kama ugonjwa mwingine tu wa kawaida. Kama kawaida kelele na lawama zilimfuata kwa wing uku wengine wakimcheka na kumbeza but Leo kiko wap shirika la Afya Dunia limesha yarudia maneno ya Magufuli pia hata mataifa yote Makubwa Dunian

Hayo ni machache ndan ya Mengi Alio Sema Hayat tukiacha Yale ya kumuomba mungu siku Tatu sababu wengine umu hawana Dini

Tukirud kwenye Mada uzi huu unaonyesha ni kwa kiasi Gan watu weus bado tunatawaliwa fikiria Leo wazungu ndio wanaanza kutangaza kua corona haito Isha Sasa cha kufanya ni kuish nayo tu na bila Mashart ya lock down. Tukumbuke kua Waafrica Tungeweza kuamua haya kabla yao na kufanya maamuz yetu yawe bora na yenye Mantik hata baadae ikija kutokea tatizo watoto zetu na wajukuu wangekua na uwezo wa kujiamin kuweza kutatua tatizo kutokana na historia ya nyuma kua hata babu zetu wakiweza.
But waafrica kwa kuonyesha kua Bongo zetu ni Bongo barid kila mmoja Alimuona Hayat Magufuli mjinga na kusubir kuona wazungu watasema Nini ili wao pia wafanye yani tumesubir kua Dunia ya Tatu kama kawaida yetu ya kupitia stage

Leo wazungu wanaanza kuyafanya Yale yote tulio takiwa kufanya sisi wa Africa kabla na tumesubir wazungu wafanye kwanza ili sisi tufanye pia je sisi ni kina Nan?
 
Habar Wadau katika
Katika mambo ambayo yanafanya nione kabisa kua Waafrica haito Kuja kutokea mtu Mweus akajielewa na Kusimamia misimamo yake moja kubwa ni jambo IL la corona

Mwenye akili halafu kafa kwa CORONA.

Hivi hizi akili huwa mnazitoa wapi ???

Au ndio usemi, chuki hupofusha. Kwamba ilimradi wazungu wamesema basi ni vitaaa!!
 
Umesema alisema vipimo vya corona vinatoa majibu ya uongo. Je ilikuwaje akawatumbua waliokuta sampuli za papai zina covid ilihali alijua vipimo ni vibovu.
 
Mnalazimisha kafa kwa corona ili msione aibu mbele za watu kwa kupinga mwongozo wake pia swala sio yeye kufa kwa corona swala ni kwamba alio Sema yanaish ama la kwani hujui hata yesu alikufa kwa dhambi zetu
 
Magufuli mwenyewe yupo wapi?
 
Umesema alisema vipimo vya corona vinatoa majibu ya uongo. Je ilikuwaje akawatumbua waliokuta sampuli za papai zina covid ilihali alijua vipimo ni vibovu.
Kulikua na mawil huenda vipimo vilikua vibovu na wao kama wataalam wakashindwa kugundua ilo pil huenda zilikua hujuma
 
Mnalazimisha kafa kwa corona ili msione aibu mbele za watu kwa kupinga mwongozo wake pia swala sio yeye kufa kwa corona swala ni kwamba alio Sema yanaish ama la kwani hujui hata yesu alikufa kwa dhambi zetu
CORONA ipo na imeua watu wengi mnooo.

Na CORONA inaua sana watu wenye kinga hafifu kama watu wenye KISUKARI, MATATIZO YA MOYO, B.P, ASTHMA, OBESITY.

Na kinachotokea Corona ni kama WAVE, watu wanaambukizwaaa, then incubation period mpaka siku 14 baada ya watu ni mfulukizo wa vifo kwa wale wenye kinga hafifu na wenye kinga zao hasa vijana wanapona.

Hapa ndio Dr. Mpango aliponea chupu chupu yaani.

Issue ni kwamba Afrika ina kundi kubwa sana vijana ndio maana madhara yake hayakuwa makubwa. Lakini CORONA imefyeka sana watu wenye kinga dhaifu nchi hii.

Kilichopo sasa hivi ni survivor of the fittest pamoja na careers.

Ndio maana Bongo kuna watu wanadunda ila wamebeba mutants wa CORONA kibao. Sasa huwezi kujua kama watakuwa hatari au vipi maana ugonjwa wenyewe bado uko kwenye tafiti.

Na unaposema eti Ulaya wamechanganyika , hivi hujui huko washawapa chanjo raia wao karibia wote ???

Corona imeparua serikali nzima lakini bado mnaimani za kizuzu tu
 
Kuna watanzania wajinga sanaaa. Korona Tanzania imekuwa historia kutokana na msimamo wa jpm. La sivyo tungekuwa lockdown kwa kufuata ushauri wa mashoga Yale yanayoosha vyombo ughaibuni .
 
Angalia RED.

Angalia Avatar yako.

Naona umekalia, unapata utamu tu.
 
CORONA ipo na imeua watu wengi mnooo.

Na CORONA inaua sana watu wenye kinga hafifu kama watu wenye KISUKARI, MATATIZO YA MOYO, B.P, ASTHMA, OBESITY.

Na kinachotokea Corona ni kama WAVE, watu wanaambukizwaaa, then incubation period mpaka siku 14 baada ya watu ni mfulukizo wa vifo kwa wale wenye kinga hafifu na wenye kinga zao hasa vijana wanapona.

Hapa ndio Dr. Mpango aliponea chupu chupu yaani.

Issue ni kwamba Afrika ina kundi kubwa sana vijana ndio maana madhara yake hayakuwa makubwa. Lakini CORONA imefyeka sana watu wenye kinga dhaifu nchi hii.

Kilichopo sasa hivi ni survivor of the fittest pamoja na careers.

Ndio maana Bongo kuna watu wanadunda ila wamebeba mutants wa CORONA kibao. Sasa huwezi kujua kama watakuwa hatari au vipi maana ugonjwa wenyewe bado uko kwenye tafiti.

Na unaposema eti Ulaya wamechanganyika , hivi hujui huko washawapa chanjo raia wao karibia wote ???

Corona imeparua serikali nzima lakini bado mnaimani za kizuzu tu
Toa takwimu imeua Tanzania wangapi?. Mbona wewe hujafa?.

So ulikuwa unataka kutuambia nini?. Unashauri nini?.

Unataka tuwe lock down ? Baba yako ana uwezo wa kukulisha siku zote za lock down. Je wenzangu na Mimi wakale wapi? Kipindi cha lock down?.

Kama ni kinga ya virus uko huru kwenda kuichukua huko kwa waume zenu. Mbona shoga mmoja kaenda juzi tu kufuata .

Acha watanzania waishi kwa Uhuru
 
Huna akili wewe. Umasikini wako siyo umasikini wa kila mtu.

Pia hakuna aliyelazimisha kuwa lockdown wewe kimburu. Solutions zipo nyingi ??

Unaniuliza mimi takwimu, mimi ndio serikali wewe kibonzo ??
 
CORONA ipo na imeua watu wengi mnooo.

Na CORONA inaua sana watu wenye kinga hafifu kama watu wenye KISUKARI, MATATIZO YA MOYO, B.P, ASTHMA, OBESITY.

Na kinachotokea Corona ni kama WAVE, watu wanaambukizwaaa, then incubation period mpaka siku 14 baada ya watu ni mfulukizo wa vifo kwa wale wenye kinga hafifu na wenye kinga zao hasa vijana wanapona.

Hapa ndio Dr. Mpango aliponea chupu chupu yaani.

Issue ni kwamba Afrika ina kundi kubwa sana vijana ndio maana madhara yake hayakuwa makubwa. Lakini CORONA imefyeka sana watu wenye kinga dhaifu nchi hii.

Kilichopo sasa hivi ni survivor of the fittest pamoja na careers.

Ndio maana Bongo kuna watu wanadunda ila wamebeba mutants wa CORONA kibao. Sasa huwezi kujua kama watakuwa hatari au vipi maana ugonjwa wenyewe bado uko kwenye tafiti.

Na unaposema eti Ulaya wamechanganyika , hivi hujui huko washawapa chanjo raia wao karibia wote ???

Corona imeparua serikali nzima lakini bado mnaimani za kizuzu tu
Kwan Magufuli alikataa corona haiuw? Ok tuambie Hao wanao fungua sasaiv na kuachana na lock down hawaf?
 
uzi mzuri ila guinea pigs hawatakuelewa tayari mabeberu yamewapanda wanataka majaribio miilini mwao
 
Kwan Magufuli alikataa corona haiuw? Ok tuambie Hao wanao fungua sasaiv na kuachana na lock down hawaf?
Wakati wanaweka lockdown walikwambia itakuwa ya milele??

Hujui huko watu wao wameshapewa chanjo, au mpaka Magu afufuke akwambie ??
 
Mwenye akili halafu kafa kwa CORONA.

Hivi hizi akili huwa mnazitoa wapi ???

Au ndio usemi, chuki hupofusha. Kwamba ilimradi wazungu wamesema basi ni vitaaa!!
1. Una uhakika gani kama Magufuli kafa kwa corona?

2. Ugonjwa gani umewahi kugunduliwa na waafrika?

3. Dawa ipi ya hospitali imewahi kugunduliwa na waafrika?

4. Chanjo ipi imewahi kugunduliwa na waafrika?

5. Kwanini wazungu waliikataa dawa ya corona ya Madagascar pasipo kuijaribu? kwanini waliikataa mbali tu, hiyo haifai bila hata kusema waijaribu japo kwa miezi mitatu ndiyo watoe mrejesho?

6. Wakati vipimo vya kupima corona vinatengenezwa ulikuwepo? una uhakika gani kama vipimo hivyo vina-detect virusi vya corona na siyo virusi vingine vya mwilini visivyo na madhara yoyote?

7. Kwanini unapenda kulazimisha kila jambo wanalosema wazungu liwe kweli na kila mtu alifuate?

8. Kwanini wazungu walikataa ushauri wa Magufuli wa kutufutia madeni ya nyuma kama msaada wa kujikimu na corona badala ya kutulazimisha kukopa mikopo mingine zaidi?

9. Kwanini wazungu wanapenda sana wakiona taifa fulani afrika lina kopa kopa kwao badala ya taifa hilo lijitegemee kama tulivyoona Libya kwa Gaddafi?

10. Kwanini watu wenye misimamo kama ya aliyokuwa nayo Magufuli wengi wao hufa mapema vifo vya sintofahamu?

11. Una elimu au utaalamu wowote kuhusu magonjwa ya virusi?

12. Kipimo cha ugonjwa gani kimewahi kugunduliwa afrika na kinatumika na watu wote dunia nzima?

13. Kwanini wazungu wanatulazimisha sisi waafrika wake zetu wakiwa wajawazito wapime UKIMWI kwa lazima na siyo kwa hiyari? eti kwanini unipime ugonjwa wowote hata kama ni malaria kwa lazima na siyo kwa hiyari yangu? je baada ya vipimo wanatupa pia hela na chakula kwa ajili ya watoto wetu? wanatusomeshea shule hao watoto wetu? wanatulipia gharama za hospitali watoto hao wetu wakiumwa? wanatujengea nyumba za kuishi hao watoto wetu? ikiwa hawawezi kufanya yote haya kwanini wanalazimisha mama mjamzito apime ukimwi wakati baada ya kuzaliwa mtoto kila jukumu ni la mzazi na siyo wazungu waliotengeneza vipimo vya UKIMWI? Je ni dunia nzima kila nchi ni lazima kupima UKIMWI mama akiwa mjamzito?

jibu pole pole swali hadi swali kwa namba, usiwe na haraka
 
Back
Top Bottom