Je Tanzania kuna competent actuaries wakutosha?

Je Tanzania kuna competent actuaries wakutosha?

z12f

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
760
Reaction score
660
From Wikipedia:
Actuarial science is the discipline that applies mathematical and statistical methods to assess risk in insurance, finance and other industries and professions. Actuaries are professionals who are qualified in this field through intense education and experience.

Je Tanzania kuna competent actuaries wakutosha? Wenye BSc Actuarial Science, MSc Actuarial Science and even PhD in Actuarial Science. Na wawe members of professional actuarial bodies (local or international).

Hawa jamaa wangeweza kusaidia kwenye mifuko yetu ya pension, pamoja na miradi mikubwa ya umma ya uwekezaji. Wangeweza kutusaidia pia kwenye management ya public debt.
 
Tuanze kwanza na wewe he unayo hiyo "actual science education" au unaulizia tu ki janja janja?
 
Nimeona UDSM wanatoa BSc Actuarial Science.

Je curriculum ya Tanzania ni nzuri kama ya huko UK? Sijaona wakitoa MSc Actuarial Science. Je Tanzania kuna watu wengi wenye MSc Actuarial Science. What about PhD in Actuarial Science? Je kuna watu wengi ambao wamefaulu mitihani ya professional bodies za kimataifa? Au je mitihani ya professional bodies za Tanzania ni competent kama hiyo ya kimataifa? Najua kozi hii ni ngumu sana.

Ni kweli pia wanaweza kuwa politically influenced au kuwa bribed kumake bad decisions. Lakini wakiwa wengi, well paid and competent itakuwa vigumu kuwa bribe wote. Kumbe kuna uzi huu ambao uko some how related: Afrika Mashariki ina actuarial scientists 46, ila wote Wakenya
 
Hiyo field inabamba sana na mishahara yake katika nchi nyingi ni mikubwa sana ila inabidi ukae chini upige kitabu cha uhakika ili uweze kufanya vizuri.
 
Back
Top Bottom