Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 372
- 574
Wakuu nina swali naomba ufafanuzi. Katika team yetu ya taifa ya mpira wa miguu(taifa starts ) kuna wachezaji wageni, kwa information wengine hawajui kiswahili vizuri na inasemekana wengine walizaliwa nje ila baba au mama ni Mtanzania ila mtoto kazaliwa nje.
Je, hii imekaaje hadi mtoto kuitwa ni Mtanzania hadi kufikia hatua ya kuchezea team ya taifa na ilihali kazaliwa nje?
Je, kuna uraia wa kurithi au uraia pacha? Au serikali imeamua kufumba macho jambo hili?
Je, kama ni kweli why watoto ambao wazazi walizaliwa Tanzania lakini mababu walitoka labda Burundi, Congo, Rwanda n,k wanateseka sana hata kupata documents ni ngumu sana kwa kigezo cha kwamba wao siyo watanzania?.