Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,808
- 110,049
Hiyo nisheria ya FIFA,je sheria ya nchi inasemaje? Mkuu usiongee tu hivi unajua kama kuna watu wanateseka kwa jambo hili?
Mzee baba mbona maelezo yangu yamenyooka kabisa na nimekutajia kuwa hao wachezaji wana vinasaba na Tanzania
Sheria ya nchi inawatambua kama Watanzania, unakuwa uraia wa kurithi na wanapewa kwa ajili ya kulitumikia taifa...
Hao wachezaji wote wana hati za kusafiria za Tanzania...
Tanzania kuna aina nne za uraia, kwa hao wachezaji ni aina hiyo namba 2...
1) Uraia wa kuzaliwa
2) Uraia wa kurithi
3) Uraia wa kuoa au kuolewa
4) Uraia wa kujiandikisha
View attachment 3522330