Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

Ngombe Hana kiungo chochote ambacho ni sumu. Kula ngozi kwa afya yako. Tena ngozi ukichemshwa inavimba na kutengeneza layer nzuri Sana na hata unapotafuna unatoa sauti Bora sana
Hivi haya makongoro na mikia si tunakula na ngozi pia?

Kuna wanaokula utumbo wa nguruwe, na wa kuku broiler,

Mjini hakitupwi kitu, pia tumbo halioneshi umekula nini, aliekula biriani na aliekula magimbi hawezi kuwatambua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom