Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,095
- 43,293
Kama nilivyoahidi; waasisi na wadau wa JF tuna maamuzi ambayo tutayafanya ili kulinda uwepo na uthabiti wa JF. Wakaopoteza ni wale wanaofikiri wamepata.
Tutaendelea kupaza sauti zetu![]()
![]()
Kama nilivyoahidi; waasisi na wadau wa JF tuna maamuzi ambayo tutayafanya ili kulinda uwepo na uthabiti wa JF. Wakaopoteza ni wale wanaofikiri wamepata.
Kwanza tumkwamue mwanakondoo aliyenasa kwenye tope,mengine baadaeMy mind is playing tricks on me..may be,why do i have this gut feeling when it comes to Mwanakijiji???!..may be again my mind is playing tricks on me.
Underground movement on the move, tumeanza kupata international support.ABC news na Fox news za Marekani wamereport habari hii katika namna ambayo inatujengea taswira mbaya!
Watalii tutawasikia kwenye bomba,mtalii gani atakayesikia habari hiyo halafu aje?Si ataona nchi ni ya kidikteta
mABC news na Fox news za Marekani wamereport habari hii katika namna ambayo inatujengea taswira mbaya!
Watalii tutawasikia kwenye bomba,mtalii gani atakayesikia habari hiyo halafu aje?Si ataona nchi ni ya kidikteta
Tanzania police force is led by twits.![]()
![]()
Kama nilivyoahidi; waasisi na wadau wa JF tuna maamuzi ambayo tutayafanya ili kulinda uwepo na uthabiti wa JF. Wakaopoteza ni wale wanaofikiri wamepata.
Vita hii ni kubwa lakini lazima wapenda haki tushinde![]()
mbona tayar tunawaskia kwenye bomba ulizia Arusha kwa sasa hali ni mbaya.Watalii tutawasikia kwenye bomba
Are you saying ... he is one of them?My mind is playing tricks on me..may be,why do i have this gut feeling when it comes to Mwanakijiji???!..may be again my mind is playing tricks on me.
Sasa hizo ndege za watalii zinaenda kubeba watalii wa namna ganimbona tayar tunawaskia kwenye bomba ulizia Arusha kwa sasa hali ni mbaya.