makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,453
- 108,541
Bei inapoa? Ni panel ya kampuni gani?nna panel ya 100 watts nauza bei 130,000 nipo dsm 0787 429 104
Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Bei inapoa? Ni panel ya kampuni gani?nna panel ya 100 watts nauza bei 130,000 nipo dsm 0787 429 104
Chief mie nahitaji solar ambayo naweza kusukuma tv kwa masaa machache, friji, taa na vitu vidogo vidogo, inaweza kunigharimu kiasi gani? Betri? Solar panel ya watt ngapi, inveter watt ngapi? Charger controller?Solar panel ya 100watts yenye cells 36 huwa inakuwa na voltage ya 18volts(Vmp) na current ya 5.55Amps (Imp).ila formula ya power ni sawa na kuchukua Vmp × Imp ambapo 18v × 5.55=100watts.
Kwahiyo hapa tunachotakiwa kujua ni kwamba hii solar panel ikikaa juani kwa muda fulani itatengeneza power kiasi gani? Hapa tunatakiwa kuhusisha masaa ya jua kali ambapo yanatofautiana sehemu moja na sehemu nyingine lakini kwa kwa Tanzania sehemu nyingi tunapata masaa ya jua matano(5PSH) ambapo yanakua ni masaa ambayo panel itaweza kutengeneza power ya 1000w/m² kwenye STC.Piq solar panels kwa Tanzania ninatakiwa ziwekwe kwenye angle kati ya 10°-15° kuangalia upande wa kaskazini.
Kwahiyo kwa masaa matano(5PSH) panel ya 100watts inaweza kuzalisha 100watts × 5hours= 500Wh.
Lakini inabidi ukumbuke huu umeme utasafiri kutoka mahali panel ulipoiweka kwenda kwenye vifaa vyako kwahiyo kutakuwa na upotevu wa umeme kutokana na ;
1: solar panel manufacturing tolerance
2: voltage drop in cables
3:dust on the surface of the panel
4: inverter efficiency
5:losses through the charge controller.
So ukizingatia vitu vyote hivyo hapo juu tunaweza kadiria kuwa na losses zisizopungua 20%, kwahiyo tutaingiza haya mahesabu kwenye solar panel yetu ambapo utachukua 500Wh × 0.80= 400Wh, kwahiyo baada ya kuzingatia losses zote hizo, umeme utakaofika kwenye vifaa vyetu ni 400Wh. Hii power inayozalishwa inabidi ihifadhiwe kwenye battery kuja kutumika baadae wakati ikihitajika. Pia itahitajika charge controller ili kuweza kuchaji betri katila kiwango kinachohitajika bila kuharibu betri, solar panel ya 100watts huwa inakuwa na short circuit current ya 6.06A hii unatakiwa kuizidsha kwa 1.25 kupata size ya charge controller, so 6.06A×1.25=7Amps,kwahiyo utatakiwa kuwa na charge controller ya 7A.
Kujua size ya battery unatakiwa kuchukua power inayozalishwa na panel halafu ugawanye kwa volt za betri ambazo ni 12v, so 400Wh/12v=33.33Ah.
Betri zinazotumika kwenye solar system huwa ni deep cycle batteries ambazo hazitakiwi kuwa discharged more than 50% of its capacity, kwa hiyo size ya betri tuloipata inabidi kuizidisha mara mbili ili kupata betri ambalo litahifadhi mara mbili zaidi ya power itakayotumika so i will be using half of the power.
So 33.33Ah × 2=66.66Ah but storage capacity ya betri inabadilika based on temperature hii unaweza kuona kwenye betri data sheet so tufanye betri hili limeweka kwenye room yenye 60°F, the deration factor is 1.11, kwahiyo utachukua ile size ya betri ilopatikana uzidishe kwa hii factor ya temperature 66.66Ah×1.11=73.9926Ah ila dukani utachukua betri la 75Ah.
So with 400Wh unaweza kutumia;
1:tablet 7w ×4h=28Wh
2:cell phone 5w ×8hrs=40Wh
3😛rinter 75w ×1hr=75Wh
4:led bulbs 10w ×12hrs=120Wh
5:laptop 45w ×2hrs=90Wh
Total= 353Wh
Prepared by engineer cyber ghost
Utatumia hela nyingi sana. Bora ununue jenereta ya mafuta, upandishe maji kwenye tanki.Habari zenu wadau wapi naweza pata Solar Unit ambayo
1. Inaweza run pump ya kisima (iliyozamIshwa )
2. Bulb zisizozidi 6
Nataka kujua ni watts ngapi zitatosheleza ?
Na solar panel za ukubwa gani zitatosha ?
Jee itagharimu kiasi gani ?
HP 2. Kisima urefu 70m
Kwenye battery umekosea...hizo deep cycle tunaruhusiwa tumia hadi 80% zinaitwa SLA na aina nyingne nyingi kama AGM nkSolar panel ya 100watts yenye cells 36 huwa inakuwa na voltage ya 18volts(Vmp) na current ya 5.55Amps (Imp).ila formula ya power ni sawa na kuchukua Vmp × Imp ambapo 18v × 5.55=100watts.
Kwahiyo hapa tunachotakiwa kujua ni kwamba hii solar panel ikikaa juani kwa muda fulani itatengeneza power kiasi gani? Hapa tunatakiwa kuhusisha masaa ya jua kali ambapo yanatofautiana sehemu moja na sehemu nyingine lakini kwa kwa Tanzania sehemu nyingi tunapata masaa ya jua matano(5PSH) ambapo yanakua ni masaa ambayo panel itaweza kutengeneza power ya 1000w/m² kwenye STC.Piq solar panels kwa Tanzania ninatakiwa ziwekwe kwenye angle kati ya 10°-15° kuangalia upande wa kaskazini.
Kwahiyo kwa masaa matano(5PSH) panel ya 100watts inaweza kuzalisha 100watts × 5hours= 500Wh.
Lakini inabidi ukumbuke huu umeme utasafiri kutoka mahali panel ulipoiweka kwenda kwenye vifaa vyako kwahiyo kutakuwa na upotevu wa umeme kutokana na ;
1: solar panel manufacturing tolerance
2: voltage drop in cables
3:dust on the surface of the panel
4: inverter efficiency
5:losses through the charge controller.
So ukizingatia vitu vyote hivyo hapo juu tunaweza kadiria kuwa na losses zisizopungua 20%, kwahiyo tutaingiza haya mahesabu kwenye solar panel yetu ambapo utachukua 500Wh × 0.80= 400Wh, kwahiyo baada ya kuzingatia losses zote hizo, umeme utakaofika kwenye vifaa vyetu ni 400Wh. Hii power inayozalishwa inabidi ihifadhiwe kwenye battery kuja kutumika baadae wakati ikihitajika. Pia itahitajika charge controller ili kuweza kuchaji betri katila kiwango kinachohitajika bila kuharibu betri, solar panel ya 100watts huwa inakuwa na short circuit current ya 6.06A hii unatakiwa kuizidsha kwa 1.25 kupata size ya charge controller, so 6.06A×1.25=7Amps,kwahiyo utatakiwa kuwa na charge controller ya 7A.
Kujua size ya battery unatakiwa kuchukua power inayozalishwa na panel halafu ugawanye kwa volt za betri ambazo ni 12v, so 400Wh/12v=33.33Ah.
Betri zinazotumika kwenye solar system huwa ni deep cycle batteries ambazo hazitakiwi kuwa discharged more than 50% of its capacity, kwa hiyo size ya betri tuloipata inabidi kuizidisha mara mbili ili kupata betri ambalo litahifadhi mara mbili zaidi ya power itakayotumika so i will be using half of the power.
So 33.33Ah × 2=66.66Ah but storage capacity ya betri inabadilika based on temperature hii unaweza kuona kwenye betri data sheet so tufanye betri hili limeweka kwenye room yenye 60°F, the deration factor is 1.11, kwahiyo utachukua ile size ya betri ilopatikana uzidishe kwa hii factor ya temperature 66.66Ah×1.11=73.9926Ah ila dukani utachukua betri la 75Ah.
So with 400Wh unaweza kutumia;
1:tablet 7w ×4h=28Wh
2:cell phone 5w ×8hrs=40Wh
3😛rinter 75w ×1hr=75Wh
4:led bulbs 10w ×12hrs=120Wh
5:laptop 45w ×2hrs=90Wh
Total= 353Wh
Prepared by engineer cyber ghost
Unashauriwa not less than 50% ili kurefusha maisha ya betri.Kwenye battery umekosea...hizo deep cycle tunaruhusiwa tumia hadi 80% zinaitwa SLA na aina nyingne nyingi kama AGM nk
Lead acid battery za magari ndo efficiency yake ni 50% ya uwezo wake
Panels 400W.Wakuu, naomba msaada wa uelewa.
Ninahitajika kununua solar ya watt ngapi na betri yenye ukubwa gani ili niweze kutumia Friji la saizi ya kati pamoja na TV ya nch 32. Vyote vinatumia umeme wa AC.
Hizo Ni lead acid zinatumika kwenye magari nkBetri zinazotumika kwenye solar system huwa ni deep cycle batteries ambazo hazitakiwi kuwa discharged more than 50% of its capacity,
NafuatiliaSolar panel ya 100watts yenye cells 36 huwa inakuwa na voltage ya 18volts(Vmp) na current ya 5.55Amps (Imp).ila formula ya power ni sawa na kuchukua Vmp × Imp ambapo 18v × 5.55=100watts.
Kwahiyo hapa tunachotakiwa kujua ni kwamba hii solar panel ikikaa juani kwa muda fulani itatengeneza power kiasi gani? Hapa tunatakiwa kuhusisha masaa ya jua kali ambapo yanatofautiana sehemu moja na sehemu nyingine lakini kwa kwa Tanzania sehemu nyingi tunapata masaa ya jua matano(5PSH) ambapo yanakua ni masaa ambayo panel itaweza kutengeneza power ya 1000w/m² kwenye STC.Piq solar panels kwa Tanzania ninatakiwa ziwekwe kwenye angle kati ya 10°-15° kuangalia upande wa kaskazini.
Kwahiyo kwa masaa matano(5PSH) panel ya 100watts inaweza kuzalisha 100watts × 5hours= 500Wh.
Lakini inabidi ukumbuke huu umeme utasafiri kutoka mahali panel ulipoiweka kwenda kwenye vifaa vyako kwahiyo kutakuwa na upotevu wa umeme kutokana na ;
1: solar panel manufacturing tolerance
2: voltage drop in cables
3:dust on the surface of the panel
4: inverter efficiency
5:losses through the charge controller.
So ukizingatia vitu vyote hivyo hapo juu tunaweza kadiria kuwa na losses zisizopungua 20%, kwahiyo tutaingiza haya mahesabu kwenye solar panel yetu ambapo utachukua 500Wh × 0.80= 400Wh, kwahiyo baada ya kuzingatia losses zote hizo, umeme utakaofika kwenye vifaa vyetu ni 400Wh. Hii power inayozalishwa inabidi ihifadhiwe kwenye battery kuja kutumika baadae wakati ikihitajika. Pia itahitajika charge controller ili kuweza kuchaji betri katila kiwango kinachohitajika bila kuharibu betri, solar panel ya 100watts huwa inakuwa na short circuit current ya 6.06A hii unatakiwa kuizidsha kwa 1.25 kupata size ya charge controller, so 6.06A×1.25=7Amps,kwahiyo utatakiwa kuwa na charge controller ya 7A.
Kujua size ya battery unatakiwa kuchukua power inayozalishwa na panel halafu ugawanye kwa volt za betri ambazo ni 12v, so 400Wh/12v=33.33Ah.
Betri zinazotumika kwenye solar system huwa ni deep cycle batteries ambazo hazitakiwi kuwa discharged more than 50% of its capacity, kwa hiyo size ya betri tuloipata inabidi kuizidisha mara mbili ili kupata betri ambalo litahifadhi mara mbili zaidi ya power itakayotumika so i will be using half of the power.
So 33.33Ah × 2=66.66Ah but storage capacity ya betri inabadilika based on temperature hii unaweza kuona kwenye betri data sheet so tufanye betri hili limeweka kwenye room yenye 60°F, the deration factor is 1.11, kwahiyo utachukua ile size ya betri ilopatikana uzidishe kwa hii factor ya temperature 66.66Ah×1.11=73.9926Ah ila dukani utachukua betri la 75Ah.
So with 400Wh unaweza kutumia;
1:tablet 7w ×4h=28Wh
2:cell phone 5w ×8hrs=40Wh
3😛rinter 75w ×1hr=75Wh
4:led bulbs 10w ×12hrs=120Wh
5:laptop 45w ×2hrs=90Wh
Total= 353Wh
Prepared by engineer cyber ghost
Nilianzisha uzi kwa ajili ya kutafuta msaada kwenye jambo ambalo naona wewe unaweza kunipa ushauiri muafaka. Suala lenyewe ni kama hapa chini:Solar panel ya 100watts yenye cells 36 huwa inakuwa na voltage ya 18volts(Vmp) na current ya 5.55Amps (Imp).ila formula ya power ni sawa na kuchukua Vmp × Imp ambapo 18v × 5.55=100watts.
Kwahiyo hapa tunachotakiwa kujua ni kwamba hii solar panel ikikaa juani kwa muda fulani itatengeneza power kiasi gani? Hapa tunatakiwa kuhusisha masaa ya jua kali ambapo yanatofautiana sehemu moja na sehemu nyingine lakini kwa kwa Tanzania sehemu nyingi tunapata masaa ya jua matano(5PSH) ambapo yanakua ni masaa ambayo panel itaweza kutengeneza power ya 1000w/m² kwenye STC.Piq solar panels kwa Tanzania ninatakiwa ziwekwe kwenye angle kati ya 10°-15° kuangalia upande wa kaskazini.
Kwahiyo kwa masaa matano(5PSH) panel ya 100watts inaweza kuzalisha 100watts × 5hours= 500Wh.
Lakini inabidi ukumbuke huu umeme utasafiri kutoka mahali panel ulipoiweka kwenda kwenye vifaa vyako kwahiyo kutakuwa na upotevu wa umeme kutokana na ;
1: solar panel manufacturing tolerance
2: voltage drop in cables
3:dust on the surface of the panel
4: inverter efficiency
5:losses through the charge controller.
So ukizingatia vitu vyote hivyo hapo juu tunaweza kadiria kuwa na losses zisizopungua 20%, kwahiyo tutaingiza haya mahesabu kwenye solar panel yetu ambapo utachukua 500Wh × 0.80= 400Wh, kwahiyo baada ya kuzingatia losses zote hizo, umeme utakaofika kwenye vifaa vyetu ni 400Wh. Hii power inayozalishwa inabidi ihifadhiwe kwenye battery kuja kutumika baadae wakati ikihitajika. Pia itahitajika charge controller ili kuweza kuchaji betri katila kiwango kinachohitajika bila kuharibu betri, solar panel ya 100watts huwa inakuwa na short circuit current ya 6.06A hii unatakiwa kuizidsha kwa 1.25 kupata size ya charge controller, so 6.06A×1.25=7Amps,kwahiyo utatakiwa kuwa na charge controller ya 7A.
Kujua size ya battery unatakiwa kuchukua power inayozalishwa na panel halafu ugawanye kwa volt za betri ambazo ni 12v, so 400Wh/12v=33.33Ah.
Betri zinazotumika kwenye solar system huwa ni deep cycle batteries ambazo hazitakiwi kuwa discharged more than 50% of its capacity, kwa hiyo size ya betri tuloipata inabidi kuizidisha mara mbili ili kupata betri ambalo litahifadhi mara mbili zaidi ya power itakayotumika so i will be using half of the power.
So 33.33Ah × 2=66.66Ah but storage capacity ya betri inabadilika based on temperature hii unaweza kuona kwenye betri data sheet so tufanye betri hili limeweka kwenye room yenye 60°F, the deration factor is 1.11, kwahiyo utachukua ile size ya betri ilopatikana uzidishe kwa hii factor ya temperature 66.66Ah×1.11=73.9926Ah ila dukani utachukua betri la 75Ah.
So with 400Wh unaweza kutumia;
1:tablet 7w ×4h=28Wh
2:cell phone 5w ×8hrs=40Wh
3😛rinter 75w ×1hr=75Wh
4:led bulbs 10w ×12hrs=120Wh
5:laptop 45w ×2hrs=90Wh
Total= 353Wh
Prepared by engineer cyber ghost
matumizi ya solar kwenye vyombo vyenye motor ndani ni changamotojuice dispenser
m kasoro siyo tatizo kwa sababu dispenser yenyewe imeinunua zaidi ya m, na ninataka kuitumia sehemu hiyo ambayo haina umeme lakini nkua atu wengi sana. Kwa hiyo najua bado itanilipa, na hicho ninachokinunua ni asset! Cha maana ni uhakika tu kuwa nitakachokinunua kiweze kukidhi haja!! Siyo ninunue halafu kisiweze kazi!matumizi ya solar kwenye vyombo vyenye motor ndani ni changamoto
1. dispenser ina 500W ( kwakua ina motor ndani ) ukiiwasha hiyo dispenser itavuta karibia 2500W kwa mda we sekunde kadhaa, so inabidi Inverter utakayochukua ihimili hii 2500W au zaidi
2. Inverter nyingi (cheap) ni zinatoa square wave ambazo si rafiki na motor, iyo dispenser itakua inatetemeka na kupata joto kinoma, pure sine wave inverter ndiyo inahitajika
kupata Inverter ya 2500W, Pure Sine Wave, unaongelea m kasoro kiduchu