Je soko la matango kwa mwezi december nitafanikiwa?

Je soko la matango kwa mwezi december nitafanikiwa?

Lyn Vivac

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
858
Reaction score
1,024
Wapendwa, habari zenu? Poleni sana kwa majukumu.
Naomba kusaidiwa, soko la matango kwa mwezi wa December nitafanikiwa?

Nimepata shamba tayari na najua gharama zake si kubwa kiasi hcho, naombeni ushauri au ufahamu wa zao hili tafadhali.

Mungu awabariki na abariki pia kazi za mikono yenu.
 
Back
Top Bottom