Je, SMS ya mapenzi inaweza kuvunja ndoa?

Je, SMS ya mapenzi inaweza kuvunja ndoa?

Mweleze bro hayo majina matamu matamu ni ya my wife wake, kuyatumia tumia hovyo kwa mipango ya kando kunapunguza ladha ati!



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
jamani neno "darling" lina ubaya gani???? au tafsiri ndio inasumbua hapa....
 
Huyo shemejio kazidi kiherehere simu ya mumewe inamhusu nini yeye? kwanini asijitumie sms mwenyewe akasoma? aache ushamba wake huyo jamani, mambo ya kukgua simu za wapenzi wenu mtaishia kugombana kila siku, niigeni mie Mpwa wenu simu ya my wife wangu hataa iite hadi itoke machozi siipokei na yeye akipenda atapokea na kusoma sms ila mimi NO.
 
Muulize kakako, akikuta mkewe kaandikiwa msg na mwanaume zinasema darling kufanyajekufanyaje, je atamind? Hilo ndo jibu lake!
 
Naomba wataalam mnijulishe, shemeji yangu kaondoka nyumbani kwa mumewe ambaye ni kaka yangu kisa eti amekuta mumewe kaandikiana na mwanamke sms wakiitana darling

mwambie kaka ako aache uzinzi achague moja kuwa mzinzi au kutulia na mkewe, huyo shemeji yako au mkewe anakitu/mbunye tofauti na wengine?
 
Jamani darling! Nimekumiss. Leo lunch twaenda wapi? (Paw akiona hii naye leo anaenda kulala kwa mama yake, tutaunganisha na dinner. Sawa darling?)

hey ... Serena tu hapo maana si mbali na hapa tunawork darling!!!
 
Back
Top Bottom