Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,353
- 108,473
Hapo kwa read ndio kuna mushkeli....teh teh teh! otherwise the word darling sometimes linatumika kuonesha a polite way of calling somebody you care...
Si ndo maana sikupendi. Nikijifikiria kuwa mibange kama wewe nachoka kabisa! Natafuta pastor wa kisabato anibatize mara kibao hadi akili itakate
Hapo kwa read ndio kuna mushkeli....teh teh teh! otherwise the word darling sometimes linatumika kuonesha a polite way of calling somebody you care...
hakunaga udhungu kwa waafrika , watu ukimtania tu anadhaqni kweli hacheleweshi
ahahahahahhan kumbe inauma enh!
sasa unajuaje na huyo shem wake Bujibuji alikuta hivo!?
ila ALL IN ALL MI SIVUNJI NDOA YANGU bana!KHA
sasa jamani nisitumie neno zuri kisa utashindwa kunielewa lol....!!!
ah mtani shipa la roho lazima limtoke bidada lol!Nimejaribu kutoa maoni yangu kulingana na kile kilicholetwa mezani na mkuu Bujibuji....yaani shemejiye ile kuona tu neno "darling", basi lile shipa la kiroho papo likamkaza huyo bi mkubwa...
ah mtani shipa la roho lazima limtoke bidada lol!
darling hiv hiv tu kibongo bongo lazm upige ndwere!
Naomba wataalam mnijulishe, shemeji yangu kaondoka nyumbani kwa mumewe ambaye ni kaka yangu kisa eti amekuta mumewe kaandikiana na mwanamke sms wakiitana darling
we niite tu hivyo uone ka cjakung'ang'ania , kwetu africa hivyo bado vitu adimu jamani, tuangalie mazingira especialy kama unayemtumia ni mke/mme wa mtu
Sasa naona mnatupa mzigo mwingine wa kuanza kuwapeleka "English Course"....
mi kwa ajili ya hizi darling zenu na hiney sijui love za maofisini hizi mi nipeleke tu ili nizizoee!
umeona eeh...mambo ya dot com hayooooHehehe, kwani ni mbaya? Hizi ndoa za dot com balaa! Kuna mshkaji alikuta nude foto mkewe kamtumia mkaka. Palichimbika, ila ndo iko msimamo bado lol
Labda kakako hajawahi muita mkewe darling hata siku moja, mke kashtukia pengine mumewe ana darling tofauti nae
kipaji halisi hii ni zaidi ya big soosi bora huyo kakuta sms..kuna jamaa alikuta picha ya mkewe kamtumia kidume kupitia whatssapp. Bujibuji